Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,561
- 63,048
Kweli mkuu, ila nashauri vijana, kuoa na kuzaa mapema kuna umuhimu sanaBora kuchelewa kuliko kukosa kabisaa. Kuna wenzio wanataman ata hizo purukshani za kununua pampas ila mambo yamegoma.
Kwaiyo shukuru Mungu tu.
Mfano hapo ulipo, ungekuwa na kijana wa miaka 21 ambaye mnafanana naye sana ,na wewe una miaka 39, ungekuwa unajisikiaje? huku uchumi ukiwa wa wastaniUna wasi wasi gani dunia utakufa tu ipo siku ndo ulivyopangiwa wazungu kibao wanazaa na Miata 30 na kitu ishu labda kama mtumishi wa serikali kipato kidogo
Ila kama unazo pesa hata miaka 40 unazaa huduma zipo
Ingekuwa poa ila vijana anaweza kuwa miaka hyo akawa ni mwizi ,yaani majanga kila kitu ni kushukuru kwa lolote uchumi muhimuMfano hapo ulipo, ungekuwa na kijana wa miaka 21 ambaye mnafanana naye sana ,na wewe una miaka 39, ungekuwa unajisikiaje? huku uchumi ukiwa wa wastani
🤣 🤣 🤣Ingekuwa poa ila vijana anaweza kuwa miaka hyo akawa ni mwizi ,yaani majanga kila kitu ni kushukuru kwa lolote uchumi muhimu
Watoto nao mtihani
Kweli mkuuyote mema
Kweli mkuu, inabidi kufanya hivyoShukuru Kwa Kila Jambo.
Jitahidi Kuepuka Regrets Ili Uongeze Siku Zako Za Kuishi.
Fanya maamuzi sasa 🤣 🤣 🤣Tunaongea hayo mm bado sijawaza kuwa na mtoto
Ndo maisha yalivyo hakuna aliyechelewa binafsi Kwa jamii yangu bila ya kuoa niwe na mtoto naona jau kikubwa kuwa na life la uwakika kwanzaKuna mskaji wangu mmoja tuna ushkaji kwa miaka minne sasa nilijua ni age mate wangu juzi nimegundua amenizidi miaka sita nina 30 yeye ana 36 ni baada kushika leseni yake kuna issue alikuwa ananionesha baada ya kushangaa ile miaka pale ndiyo akanielezea zaidi
Huwezi dhania kama ana miaka hiyo kutokana na muonekano wake kama una miaka 36 utamuona kama ni dogo tu na siyo kwamba ana mwili mdogo hapana ukiambiwa umkadirie lazima umuweke kwenye 28 hadi 30 lakini kiukweli humo hayupo
Balaa ni kwamba ana binti wa miaka 19 kwa sasa amemaliza form four mwaka jana
ananiambia kuna siku alimbeba kwenye pikipiki akakutana na mshkaji kusalimiana kupiga stori mbilitatu anamuuliza huyu ndiyo shemeji nini ikawa fedhea kidogo
Ananiambia wakati alipokuwa mdogo kama miaka kumi na tatu kumi na nne walikuwa wanaishi tabata jirani kulikuwa na mjengo mkubwa wa mwarabu alikuwa hakai hapo na aliwaamini kuwaachia wafanye usafi na kuangalia mazingira jengo halikuwa limemaliziwa vizuri na kulikuwa na bomba mule alimruhusu auzie watu maji awe anapata chochote
Biashara ya maji ilikuwa kubwa wateja kibao akawa na hela akapanga geto na ndiyo chanzo cha kupatikana huyo binti yake
yeye anasema alikuwa dogo janja tu enzi hizo anasema siku moja mwarabu amekuja akakaa kaa kidogo akaona flow ya watu kununua maji mixer foleni kubwa tu ikabidi arasimishe biashara ya maji awe anamlipa
Tunaongea hayo mm bado sijawaza kuwa na mtoto
Ndiyo hivyo nna matarajio makubwa sana kwa watoto wangu lakini target yangu kama malengo hayatotimia nikifikisha 32 lazima nioe no matter ntakuwa na maisha ganiNdo maisha yalivyo hakuna aliyechelewa binafsi Kwa jamii yangu bila ya kuoa niwe na mtoto naona jau kikubwa kuwa na life la uwakika kwanza
Kama wazazi wasingefanya hivyo, wewe ungekuwepo?Watanzania akili zote ni kuzaa kuzaa kuzaa
Vipi mkuu, umefanikiwa hilo?Hahaha dah hapo ni noma
Mzee Mengi kazaa na Jacqueline akiwa na miaka 60+.Ila kama unazo pesa hata miaka 40 unazaa huduma zipo