Ama kweli Lowassa amekwaa kisiki hatari!


Asante sana!
Lowasa ni mmoja kati ya mafisadi hatar waliofanya ccm ichokwe! ! ! Unaweza kuwa uko sahihi! !

Hao wengine wako wapi? (hiv tunavoongea)

Hebu tufanye lowassa kaenda monduli kupumzika! !

Kina tibaijuka wako wapi?
Chenge yuko wapi?
Wengine wale hatar 10 wako wapi?
 

Kaondoka sasa hilo waachien wananchi wao wataamua 25 October wamfanye nini! ?
Hao wengine mafisadi wenzie wako wapi?
 

Lowassa anagombea urais wa nchi, ndio maana anajadiliwa hivyo.

Rais lazima ajadiliwe kwa mapana na marefu ili wananchi wamfahamu vizuri.!
 
mi mtawaliwa yeyote atakaye pita ruksa kula PAYE yangu...
ONYO;

PAYE yangu isitumike kwa ajili ya matibabu
 
Unaposema watanzania wachache.....je, hao wachache watampa kura za ushindi!

Kubali kataa Lowassa rais 2015!

Unanikumbusha utotoni , chandimu (sembo) tulikuwa hatuchezi kama mmoja watu amevaa njumu, lazima avue njumu bila hivyo tunatia mpira kwapani.
Kama wapinzani mmeshuka hadi level hiyo basi mmeshashindwa tayari.
 
Umesema kweli mtoa mada watanzania wachache watampa magufuli kura na watanzania wengi tutampa Lowassa kura.
 
Lowassa amenunua tbc ,star v clouds na channel ten?
Lowassa amenunua redio free africa na redio tanzania?
Lowassa amenunua gazeti la uhuru,habarileo,jambo leo raia tananzia?
Lowassa amenunua slaa lipumba na polepole?
Lowassa amenunua wasanii wote wakubwa.?
Lowassa amenunua simu tv na kujaza mabango mitaani.?
Lowassa anasimama majukwaani kuwatukana ccm?

Think before you speak.
Nguvu mnazotumia ccm ni nyingi sana lakini mmeshindwa kumzuia mpendwa wa watanzania
kama unataka kujua ccm imekataliwa jaribuni kuandaa mkutano bila fiesta na ukawa nayo iandae bila
msanii yeyote tuone kama hamtakimbia aibu
 
lowasaaaa ... fisadiiiii .... fisadiiiii .... lowasaaaa

Kwenye mikutano yenu fanyeni haya halafu urudi tena hapa JF:

1. Msitumie malori kusafirisha watu
2. Msiwatangulize jukwaani akina daimond na ze komedi!
 
1. Kwani CHADEMA hawatumii malori/hawabebi watu?
2. Kwani CHADEMA/UKAWA hawatumii wasanii?....Hawa akina Ney wa Mitego...Bob Junior...Wolper..Shamsa Ford sio wasanii?...

Wale wamekuja kwa hiari yao, ushawahi kuwaona wana perform ili kuvuta watu?
 

Bora umesema ni wachache. Na hao wachache wana uelewa na Tanzania ya Magufuli, si Tanzania yetu.
 
Ingekuwa urais unapatikana kwenye mitandao basi Lowasa angekuwa rais,lakini bahati nzuri wapiga kura asilimia kubwa ni wale ambao hawajawahi kutumia mtandao

nahicho ndicho kitusikitishacho...majority are misinformed(due to limited access) because of the corrupted system.
 
Mkuu hoja sio wasanii,Mbona na nyie mnatumia Chopa Kama kivutio.

Ukweli ni kwamba Lowassa anapwaya kwa Magufuli Pamoja na mtandao hatari alionao.!

We mwenyewe umesema ni wananchi wachache tu walioko kwa Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…