Hakuna mgombea ambaye hana mabango mitaani hasa eneo analokubalika sio mbunge wala diwani.Nenda kaangalie Masaki ile Haille Sellassie Road yote kila taa ya barabarani ina picha ya Magufuli. Nyerere Road, na kila ukuta ambao mwenyewe sio mkali. Ni aibu kukaa madarakani miaka 50 halafu utegemee picha ya mgombea kukupa kura. Kura zilipaswa kutoka kwenye maendeleo mliofanya.
Maisha ya ujanja ujanja hayafai. Naona mabasi ya mwendo kasi yamewekwa kwenye hold kusubiria 'siku fulani' ili angalau yalete kaimpact. Tehe tehe tehe! Taaban!
Kama Lowassa aliinajisi CCM tulia ainajisi na CDM. Na umesema AKINA LOWASSA, sasa Lowassa katoka, what about the rest?
Mkuu Mimi sio mwandiashi wa habari wala sina uwezo Wa kuamua mkutano upi uonyeshwe na upi usionyeshwe.idawa, hebu semeni kwa nini mkutano wa magufuli Bariadi mjini haukuonyeshwa kwenye taarifa za habari ktk tv zote? Kwa nini ilionyeshwa mikutano kutoka sehemu zingine za mkoa wa Simiyu kama Lamadi nk. kasoro tu mkutano wa Bariadi ambao ni makao makuu ya mkoa?
hivi ww unafikiri Magufuli anaweza kujaza watu bila DIAMOND, ALLY KIBA, THE COMEDY, YAMOTO BAND, FUTUI NAKINA WEMA?????MAGUFULI ni saiz ya LISSU, ZITTO , JJ MNYIKA.
LOWASSA ni habari nyingine.
Kwenye mikutano yenu fanyeni haya halafu urudi tena hapa JF:
1. Msitumie malori kusafirisha watu
2. Msiwatangulize jukwaani akina daimond na ze komedi!
Mwisho wenu oct 25, wote mtarudi Monduli vichwa chini.
Magufuli Rais wa awamu ya tano.
Kwanza asikate tamaa. Pili Watanzania wachache! Bahati mbaya zaidi rais anachaguliwa na wapiga kura walio wengi!Magufuli usikate tamaa ,watanzania wachache wenye uelewa na nchi yao wanatambua juhudi zako.!
Mkuu hoja sio wasanii,Mbona na nyie mnatumia Chopa Kama kivutio.
Ukweli ni kwamba Lowassa anapwaya kwa Magufuli Pamoja na mtandao hatari alionao.!
Kwa mtu anayejitambua anafahamu Magufuli ni Rais anayesubiri kuapishwa.
Kukosea na kutambua kosa ni hatua moja ya kusonga mbele.!UKAWA wakichukua nchi 2020 hakuna kampeni za kichizi kama za ccm! Eti nao wanapiga kampeni kama wapinzani!? Eti tupeni miaka mi 5 tuboreshe ELIMU, pumbav miaka 54 yote mlishindwa ndo mje mweze 2015? Huo uwezo mmeutoa wapi? CCM haina uwezo huo (isome kwa sauti ya Sumaye). Eti juzi walivyokuwa Simiyu. eti tutaboresha zao la pamba, ina maana ndo limeanza kulimwa mwaka huu? Jamani ccm ya Magufuli haiwezi!
1. Kwani CHADEMA hawatumii malori/hawabebi watu?
2. Kwani CHADEMA/UKAWA hawatumii wasanii?....Hawa akina Ney wa Mitego...Bob Junior...Wolper..Shamsa Ford sio wasanii?...
Kwa mtu anayejitambua anafahamu Magufuli ni Rais anayesubiri kuapishwa.
Mnaongea as if matatizo yooote ya nchi hii yanaletwa na Lowassa. Mlipoanzisha operesheni ya kuvua GAMBA, mbona hamkumtoa? Haya yaliyofanyika baada ya yeye kuwa nje ya ofisi ya umma, mbona sio hoja zenu?
IQ ndogo unayo wewe na Watanzania wa zamani. Watanzania wa leo wana IQ kubwa na ndio maana wanawakataa. Kuna kashfa karibu 11 za karibuni, waliohusika wanagombea ubunge kwa tiketi ya CCM
Kukosea na kutambua kosa ni hatua moja ya kusonga mbele.!