Ama kweli Lowassa amekwaa kisiki hatari!

Mkuu hoja sio wasanii,Mbona na nyie mnatumia Chopa Kama kivutio.

Ukweli ni kwamba Lowassa anapwaya kwa Magufuli Pamoja na mtandao hatari alionao.!

Dah Ccm sijui akili zenu kaondoka nazo Lowasa ,chopa ni chombo cha usafiri sio ngorongoro crater
 
Ingekuwa urais unapatikana kwenye mitandao basi Lowasa angekuwa rais,lakini bahati nzuri wapiga kura asilimia kubwa ni wale ambao hawajawahi kutumia mtandao

Kama kule Chato. Lowassa kapita kule leo, sijui salamu ulizipata?
 
Mkuu hoja sio wasanii,Mbona na nyie mnatumia Chopa Kama kivutio.

Ukweli ni kwamba Lowassa anapwaya kwa Magufuli Pamoja na mtandao hatari alionao.!

hivi ww unafikiri Magufuli anaweza kujaza watu bila DIAMOND, ALLY KIBA, THE COMEDY, YAMOTO BAND, FUTUI NAKINA WEMA?????MAGUFULI ni saiz ya LISSU, ZITTO , JJ MNYIKA.
LOWASSA ni habari nyingine.
 
hivi ww unafikiri Magufuli anaweza kujaza watu bila DIAMOND, ALLY KIBA, THE COMEDY, YAMOTO BAND, FUTUI NAKINA WEMA?????MAGUFULI ni saiz ya LISSU, ZITTO , JJ MNYIKA.
LOWASSA ni habari nyingine.
Vipi akina Ney,Roma wale sio wasanii.?
 
Ingekuwa urais unapatikana kwenye mitandao basi Lowasa angekuwa rais,lakini bahati nzuri wapiga kura asilimia kubwa ni wale ambao hawajawahi kutumia mtandao

Duh, kumbe ndiyo wale mliowanyima elimu ya uhakika kwa miaka mingi?Nimeamini ndiyo maana hamtaki kuboresha elimu nchini.
 
Kwenye mikutano yenu fanyeni haya halafu urudi tena hapa JF:

1. Msitumie malori kusafirisha watu
2. Msiwatangulize jukwaani akina daimond na ze komedi!

Adui hawezi kukupa mbinu za vita !
 
Mkuu hoja sio wasanii,Mbona na nyie mnatumia Chopa Kama kivutio.

Ukweli ni kwamba Lowassa anapwaya kwa Magufuli Pamoja na mtandao hatari alionao.!

LOWASSA ni Giant,Lowassa ni Rais kubali kataa
 
kama una majibu kua wengi wapo kwa lowasa je hao wachache magufuli wako huyo atashindaje.
 
idawa tumalizie kwanza hadithi yetu ya Msako wa hayawani. Au ndio ilikua siasa? Mbona nyie magamba mnakuwa wagumu kutimiza ahadi qudadek?
 
Last edited by a moderator:

Miaka 50 ya kushika DOLA bado mnategemea MABANGO kukinadi chama? Mlipaswa kuna na vitu mlivyofanya vya kuwasemea.

Unasema Watanzania wachache wenye uelewa? Unahighlight kushindwa kwa CCM kuleta elimu kwa kuwa kutumia akili sio hulka.
 
Magufuli usikate Tamaa??? Kumbe ashakata tamaa!
 
Miaka 50 ya kushika DOLA bado mnategemea MABANGO kukinadi chama? Mlipaswa kuna na vitu mlivyofanya vya kuwasemea.

Unasema Watanzania wachache wenye uelewa? Unahighlight kushindwa kwa CCM kuleta elimu kwa kuwa kutumia akili sio hulka.
CCM hainadi chama ila inamnadi Magufuli, maana ccm wameichafua na kuinajisi akina Lowassa .

Kampeni ni kujitangaza ,hivyo mabango ni utaratibu wa kawaida popote pale.

Hata nyie ilibidi mje na utaratibu mpya sio huu uliozoeleka wa ccm wa kubandika mabango barabarani.
 
Vipi akina Ney,Roma wale sio wasanii.?

Hivi kuna mtu anamjua Roma? Tumia akili kila wakati ndugu yangu, watu wanataka kumuona Diamond & CO...akimsindikiza msanii mwenzao Magufuli na wimbo wake Alimselema halija
 
Hivi kuna mtu anamjua Roma? Tumia akili kila wakati ndugu yangu, watu wanataka kumuona Diamond & CO...akimsindikiza msanii mwenzao Magufuli na wimbo wake Alimselema halija
Acha kujitoa ufahamu mkuu ,unataka kusema Roma hafahamiki . hata Roma mwenyewe atakushangaa.!
 
Nenda kaangalie Masaki ile Haille Sellassie Road yote kila taa ya barabarani ina picha ya Magufuli. Nyerere Road, na kila ukuta ambao mwenyewe sio mkali. Ni aibu kukaa madarakani miaka 50 halafu utegemee picha ya mgombea kukupa kura. Kura zilipaswa kutoka kwenye maendeleo mliofanya.

Maisha ya ujanja ujanja hayafai. Naona mabasi ya mwendo kasi yamewekwa kwenye hold kusubiria 'siku fulani' ili angalau yalete kaimpact. Tehe tehe tehe! Taaban!

Kama Lowassa aliinajisi CCM tulia ainajisi na CDM. Na umesema AKINA LOWASSA, sasa Lowassa katoka, what about the rest?
 
Asante kwa kutambua hill kwamba mpo wachache.... Fanyen kampen bila diamond muone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…