Ama kweli "loose Goat don't know how tied Goat feeling"

Brian Spilner

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
2,034
Reaction score
6,038
Ama kweli "loose Goat don't know how a tied Goat feeling"

Huo usemi niliupata kwenye mafundisho fulani (zamani kidogo) ya "Priority of singleness". Mafundisho hayo yalilenga kumfundisha individual namna yakujishape mwenyewe kabla hajataka kumingo na mtu mwingine (sikwenda kwa hilo exactly, ila huwa nnaseek maarifa nikajikuta na hapo). Kuna wakati fulani mfundishaji akasema ukiweza kubaki single ni nzuri pia(sana) maana "Marriage is only as good as your singleness" na hapo ndipo alipotoa kausemi hako.

Tuje kwangu sasa.
Yamenikuta leo yaliyofanya nielewe kwa mbaaaliii... maumivu fulani hivi wanayofeel baadhi ya tied goats (literal language). Kuna bint nilimkuta kwenye hiki kishirika ninachotafutia ugali, kufupisha stori ni kwamba tulifikia kwenye mipango mizur na huyu dada (nilipanga kumuoa so ni kama uchumba tuu japo cjaenda kwa wazazi ila hapa tunapofanya kazi tuliiweka bayana na likizo ijayo ndo ilikua mambo ya wazazi na kila kitu maana wote tunaishi mbali na wazazi).
Sasa juzi tukawa tunapga stori juu ya mabosi ambao wapo ziarani kukagua vituo vyote nchi nzima. Akaanza kuniambia kua mabosi hao wanatabia mbaya (wahuni, wakati mwingine wanatumia mamlaka kumpata mwajiriwa kingono). Akanieleza habari ya mdada mmoja aliyeacha kazi baada ya bosi kumlala kinguvu (sio nguvu za misuli, nguvu za mamlaka). Sasa kwenye stori akaeleza kuwa kuna bosi mmoja aliripoti kwa msimamizi wa kituo chetu kua bosi fulani(mwenzie) anatoka na mhasibu wa hapa(mhasibu ndo huyu dada). Yeye akasema ni uzushi tuu...

Sasa nikapata mashaka then nikambana kwa maswali nyeti "akawa mkali", nikabadili mbinu "akanuna", nikawa serious akaanza kulia...!!.. sasa mwisho wa siku ananiambia "ooohh haikua kwa hiari yanguu..." "naomba usinifikirie vbayaaa..."

Aisee nimeumia saanaaa
Sasa nimejiwazia kwamba, hapo sijamuoa, lakini pia hiyo ni historia sio kwamba ndo wapo wote saiv imeniumiza kiasi hiki . Hivi ndo mara paapp..!!! nimemuweka ndani af nakuta naibiwa, itakuajee..
Najihisi kama sitaweza kulibeba na hata huyu dada nimemtilia mashaka sijui nipige chini (maana hapo nimefupisha tuu ila nimemuuliza mara nyingi sana mpaka cku yapili, lakini akawa anakataa). Me nimemuweka kwenye kutokua mwaminifu na muongo(kwa kutokuwa muwaz kwenye hilo, maana kuficha kuna mengi labda anampango wakuendeleza hako kamchezo).

Anyway, nipo mbioni kubadili mawazo kwa huyu dada (pia nadhani ntakua loose goat kwa muda mrefu sana)
 
utasubiri sana kumpata ambaye hajapigwa jana na juzi, wote wanapigwa tu mchukue mpe masharti ndo ataaacha kama muachaji labda usime usiambiwe ukweli ndo utamwamini swali la kizushi kwako unazani ni mwanake gani utamtaka wewe awe hana mtu labda miezi sita?
 
Nashukuru mkuu ila point yangu sio ambae hajapigwa miezi sita, swala ni ukweli na uwazi. Kama anauwezo wakunificha kuhusu hili, ipo possibility kuucheza mchezo huohuo hata akiwa ndani.
Na pengine amelificha hilo swala ili aendelee nalo.
 
utasubiri sana kumpata ambaye hajapigwa jana na juzi, wote wanapigwa tu mchukue mpe masharti ndo ataaacha kama muachaji labda usime usiambiwe ukweli ndo utamwamini swali la kizushi kwako unazani ni mwanake gani utamtaka wewe awe hana mtu labda miezi sita?
Ukumbuke pia huyo bosi aliyepitanae bado ni bosi kwenye shirika, na kila mwaka anakuja kwenye ziara (once in every year) kwahyo vp kama alifcha ili mchezo uendelee?
 
braza sijui umekulia mazingira gani, ila mpaka mtu aje aoe au aolewe huko nyuma mara nyingi ni balaaa, angalia watu wanaoolewa mazingira ya nyumbani kwao au walipokulia ni wachache sana hapo kubwa ni kwamba wale wanaomzunguka wanajua kinachoendelea na huyo mtu ndo maana hawezi olewa pale ila sisi wa mbali ndo tunaona tumepata kitu cha maana sana, utachelewa sana kumpata ambae hajapigwa kimsingi nili apate ndoa, kazi au kazi yake iwe na amani lazima ahonge mzigo wenzetu hawa ni dhaifu kweli
 
Point yako nimekuelewa ila inaonekana we umechagua kutonielewa kabisa.
Naona umekaza kwenye mtu ambae hajapigwa ila me sipo huko. Nadhani ukisoma vzur uzi na post nilizoreply kwenye comments zako utanielewa.

Nadhani ukija saiv utakuja kuzungumzia uwazi, ukweli na uaminifu maana hapo ndipo nilipobainisha mashaka yangu.
 
Ambao hatujaoa tukipataga sehemu tukatulia tunatuliaga kweli na kuweka malengo ya dhati. Kimbembe kinakuja pale unapokuja kuyagundua yale yaliyofichwa na mpenzio na hapo uliwahi muuliza akakukatalia mpaka machozi. Pole braza
 
Hawezi kukuelewa anataka uzame matesoni mzee.
 
Ngoswe, penzi kitovu cha uzembe!

Mapenzi na kazi havichangamani.
 
Ambao hatujaoa tukipataga sehemu tukatulia tunatuliaga kweli na kuweka malengo ya dhati. Kimbembe kinakuja pale unapokuja kuyagundua yale yaliyofichwa na mpenzio na hapo uliwahi muuliza akakukatalia mpaka machozi. Pole braza
Nashukuru mkuu...
Yani hapo kwenye kugundua yaliyofichwa ambayo niliwah muuliza akakataa ndo pananiumiza kweli yan
 
Ama kweli "loose Goat don't know how a tied Goat feeling"

Huo usemi niliupata kwenye mafundisho fulani (zamani kidogo) ya "Priority of singleness". Mafundisho hayo yalilenga kumfundisha individual namna yakujishape mwenyewe kabla hajataka kumingo na mtu mwingine (sikwenda kwa hilo exactly, ila huwa nnaseek maarifa nikajikuta na hapo). Kuna wakati fulani mfundishaji akasema ukiweza kubaki single ni nzuri pia(sana) maana "Marriage is only as good as your singleness" na hapo ndipo alipotoa kausemi hako.

Tuje kwangu sasa.
Yamenikuta leo yaliyofanya nielewe kwa mbaaaliii... maumivu fulani hivi wanayofeel baadhi ya tied goats (literal language). Kuna bint nilimkuta kwenye hiki kishirika ninachotafutia ugali, kufupisha stori ni kwamba tulifikia kwenye mipango mizur na huyu dada (nilipanga kumuoa so ni kama uchumba tuu japo cjaenda kwa wazazi ila hapa tunapofanya kazi tuliiweka bayana na likizo ijayo ndo ilikua mambo ya wazazi na kila kitu maana wote tunaishi mbali na wazazi).
Sasa juzi tukawa tunapga stori juu ya mabosi ambao wapo ziarani kukagua vituo vyote nchi nzima. Akaanza kuniambia kua mabosi hao wanatabia mbaya (wahuni, wakati mwingine wanatumia mamlaka kumpata mwajiriwa kingono). Akanieleza habari ya mdada mmoja aliyeacha kazi baada ya bosi kumlala kinguvu (sio nguvu za misuli, nguvu za mamlaka). Sasa kwenye stori akaeleza kuwa kuna bosi mmoja aliripoti kwa msimamizi wa kituo chetu kua bosi fulani(mwenzie) anatoka na mhasibu wa hapa(mhasibu ndo huyu dada). Yeye akasema ni uzushi tuu...

Sasa nikapata mashaka then nikambana kwa maswali nyeti "akawa mkali", nikabadili mbinu "akanuna", nikawa serious akaanza kulia...!!.. sasa mwisho wa siku ananiambia "ooohh haikua kwa hiari yanguu..." "naomba usinifikirie vbayaaa..."

Aisee nimeumia saanaaa
Sasa nimejiwazia kwamba, hapo sijamuoa, lakini pia hiyo ni historia sio kwamba ndo wapo wote saiv imeniumiza kiasi hiki . Hivi ndo mara paapp..!!! nimemuweka ndani af nakuta naibiwa, itakuajee..
Najihisi kama sitaweza kulibeba na hata huyu dada nimemtilia mashaka sijui nipige chini (maana hapo nimefupisha tuu ila nimemuuliza mara nyingi sana mpaka cku yapili, lakini akawa anakataa). Me nimemuweka kwenye kutokua mwaminifu na muongo(kwa kutokuwa muwaz kwenye hilo, maana kuficha kuna mengi labda anampango wakuendeleza hako kamchezo).

Anyway, nipo mbioni kubadili mawazo kwa huyu dada (pia nadhani ntakua loose goat kwa muda mrefu sana)
Nina uhakika hao mabosi uchwara hawawezi/ hawana mamlaka ya kumuachisha kazi, hata kama wanadai wamekubali kwa kulazimishwa ( sio kwa misuli). Huko. kuwakubalia ni udhaifu wao wenyewe.
 
Kweli kabisa mkuu, na hapo ninashaka napo sanaa...
 
Kazi ya serikalini kampuni ama shirika flan ni tofauti na duka la mangi ama genge la mpemba kwamba mtu alale aamke tu kazi hunaaa hapana suala la mtu kufukuzwa kazi ni mchakato na kuna taratibu zke na halihusishi mtu mmoja hata awe na cheo kiasi gani hyo mwanamke akubali tu aliteleza aape kutorudia tena maisha yaendelee co kusingizia eti alifosiwa big nooooooooo!
 
Kweli kabisa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom