accused
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,496
- 2,740
So what ur research is too irrelevant
What he wrote is not a research but exactly what is in there. Your problem seems to be not capable of distinguishing research from observations
So what ur research is too irrelevant
Tanga nadhani iko kaskazini mashariki mwa tz yetu. ..Niliisahau Tanga yetu na Bahari bomba kabisa mkuu.
K a s k a z i n i safiii !!!!
Mbna kaa unaleta zarau aisee...Pamoja na yote hayo kaskazini ndio kuna binadamu ambao ni kivutio cha watalii, yani binadamu wa pande zingine huenda kuwashangaa hao binadamu kwa kuvaa shuka karne ya 21!!!
Huko kaskazini ndiko wanakotokea walinzi wa mageti yetu huku mjini.
Huko kaskazini ndio mpaka leo binadamu anaishi kwenye nyumba ya mavi ya Ng'ombe!!
Huko kaskazini ndio mpaka leo binadamu anakunywa maji bwawani pamoja na Ng'ombe!!
Wewe kama wewe unamchango gani kwa ukanda wa kaskazini mpaka hapa ilipofikia??I'm proud to be a northerner.
Heheeee...!!Hahaha...hilo povu ni la sabuni gani au OMO ?View attachment 452713
Sasa point yako ni nini? kuwekeza kwao hao wakaskazini au kubarikiwa kwa wa kaskazini?Wanachuma huko mikoa mingine na kwenda kuendeleza kwao
Jinga jinga weweHabarini Wakuu,
Ukiacha Bahari tu, Nimeamini Kaskazini kuna kiiila kizuri, Mungu aliipa baraka zote hizi:-
1) KWANZA, HALI NZURI SANA YA HEWA.
Kaskazini ipo ukanda wa kitropic na mara nyingi joto linacheza kwenye 26-28 °C.
Yaani ukiondoa tu huko tambarare (savana sides) pakame ila huko pia kuna utajiri wa chuma (Engaruka) na madini (Tanzanite)
◆ ARDHI YENYE UDONGO WA RUTUBA.
- Ni maajabu ukiwa kaskazini unaweza kulima karibu kila kitu, kuanzia na
-Kahawa -Kilimanjaro, Burka Estates Arusha etc.
-Mahindi, Maharage, Ngano, Mpunga, Migomba,Mboga za aina zote, Mihogo, hadi Miti ya Mbao.
- Uoto wa Asili - kuna uoto wa asili kwa sehemu kubwa ya Kilimanjaro, hata Upareni mpaka Ngorongoro huko.
- Milima mikubwa ya Volcano ( Mt. Kilimanjaro na Mt. Meru )
NOTE:
-Tanzania nzima hakuna mlima mkubwa kuliko Meru
-Africa nzima hakuna mlima mkubwa kama Kilimanjaro
NB: Milima yote hii ina barafu na inateremsha maji mengi sana tunayokunywa, Na pia ni vivutio kwa Watalii.
◆ MBUGA ZA WANYAMA (NATIONAL PARKS)
- Arusha National Park
-Kilimanjaro National Park
-Tarangire National Park
-Ngorongoro Conservation Area
Bado some Zoo kama Meserani Snake park.
Hizo ni mbuga maarufu sana zinazotoa ajira kwa wanakaskazini wengi na watu wa kanda zingine.
◆ MAZIWA YENYE SAMAKI (REGIONAL LAKES)
-Ziwa Babati
-Ziwa Eyasi
-Ziwa Duluti
-Nyumba ya Mungu
-Ziwa Natron
NB: Hayo maziwa yote yana samaki na bado kuna samaki wanaotoka Kilimanjaro
Hatahivyo, Nyumba ya Mungu inazalisha pia Umeme.
◆ UWEPO WA MADINI (TANZANITE)
Mungu ameibariki kaskazini kwa kuipatia Madini ya kipekee yasiyokuwepo popote duniani zaidi ya Mererani pekee.
◆ UWEPO WA MITO ITIRIRISHAYO MAJI:
Katika ujenzi wa barabara kuu ya Afrika Mashariki utagundua kuwa kuna daraja kiiila baada ya mita chache. Ile ni kutokana na mito yenye maji kutokea milimani na vilimani mwa Arusha.
-Mto Themi
-Mto Naura
-Mto Ngarenaro n.k
◆ UWEPO WA ARDHI YENYE VYUMA
- Engaruka & Ugweno kuna rasilimali chuma tangu enzi na enzi.
◆ UWEPO WA SHULE NYINGI NZURI NA NYUMBA ZA IBADA
-Hapa nikitaja sintazimaliza kwakuwa ukiacha Ilboru High School iliyotoa Prominent leaders wengi pia kuna akina Precious Blood na shule nyiiingi za privates na hata
-English Mediums na International Schools.
-Pia kuna Makanisa na Misikiti mikubwa yenye hadhi za kimataifa.
◆ HOTELI KUBWA ZA KITALII
-Arusha ina hotels kubwa kabisa zenye hadhi ya nyota sita (6 *) na zenye parking ya kutosha.
◆ HOSPITALI KUBWA NA NZURI
- KCMC
-Aga Khan
-ALMC Selian etc.
◆ WASANII WAKUBWA
Muziki wa HipHop umelala Arusha.
Kuna wasanii Nguli wa Teams zinazoeleweka kama
-Watengwa- Kijenge juu
-Nako 2 Nako - Kaloleni
-Weusi - Sinoni, Daraja mbili
◆ UTAMADUNI WENYE NGUVU SANA
Wenzetu Wamasai wa Kaskazini wana Utamaduni unaotambulika sio tu Tanzania ila Africa nzima, hasa wa Mavazi, Shanga na aina yao ya dancing
Pia vyakula vya asili:
-Loshoro (Waarusha na Wameru)
-Kiburu + Machalari (Wachagga)
◆ MAENEO YA MICHEZO (PLAY GROUNDS)
- Sheikh Amri Abeid Stadium ndio football pitch kubwa Arusha. ILA pia kuna sehemu nyingi za kuplay Basketball,Netball, Volleyvall etc.
Mfano:
-Gymkhana Clubs
-Soweto n.k
-Modern side
- Pia kwa Arusha na Kilimanjaro kuna mpaka eneo lililotengwa kwa ajili ya
Ralling & Horse Riding
Ni nini Tunakosa zaidi ya Bahari tu?
* Yaani kuzaliwa tu Mt. Meru, KCMC, Selian au Mawenzi tayari umezaliwa kwenye ardhi iliyobarikiwa.
Nzalendo hebu tupia pichaz....!
■ KWA HAYO, KWANINI NISIISIFIE KASKAZINI?
God Bless Northerners.
kwani kule kwenye bahari sio kaskazini vileHabarini Wakuu,

Nyie si mijizi kila sehem na mnapoondoka makwenu mnaambiwa lazima urudi na Mali haijalishi mmeipataje labda nikuulize mwanza kunakitu gani hakuna