Ama kweli Kaskazini imebarikiwa na Mungu, vyote hivi tunavyo

Sipendi topic za kishamba ukabila

6.jpg


Kuna jamaa limoja baada ya kulionyesha hii picha, likawa linanibishia eti hapo si Arusha ni Brooklyn USA....Nikamwambia angalia kwa makini utaona bango la M-pesa.....

Azarel magari kama haya ya Shule yanapatikana Arusha na nchi za Ulaya na Amerika
 
Ndio mjue hata sehem zingine kunaneema ndio mana mnakimbilia nyie roho zenu ki asili ni mbaya na mnaubaguzi ndio mana mtu mwingine kutoka mkoa kuja kufungua hata duka arusha moshi ni ngum mnaubaguzi na hamnununui vitu mpaka kwa mchaga mwenzenu au mpare na juu ya yoote mtaishia kumuibiaa

kwa ubaguzi mkuu hawa jamaa hachana nao kabisa....ninao kwwnye kampuni moja nafanya nao kazi....wamejazana kika kitu wao....yaani ata kama mtu anaumwa yuko hoi na kuna tripi wapo radhi ata aende hivyo hivyo na mlingoti wa drip.....haya makabira basii tu.
 
Sasa kama kwenu kama kuna vitu vyote hivyo unafanya nini mikoa ya watu wengine...na unaweza kuta huyu mtu anaishi sehemu tofauti na anayoisifia...hivi nyie watu wa mikoani habari zenu za kikanda na kikabila mtaziacha lini...ni ushamba sana 2016-2017 kuanza kuzungumzia ukanda only a barbaric does that...
 
kwa ubaguzi mkuu hawa jamaa hachana nao kabisa....ninao kwwnye kampuni moja nafanya nao kazi....wamejazana kika kitu wao....yaani ata kama mtu anaumwa yuko hoi na kuna tripi wapo radhi ata aende hivyo hivyo na mlingoti wa drip.....haya makabira basii tu.
Hachana - Achana

Makabira - Makabila

Kuna watu wabaguzi kama nyie wahaya?
 
Huyo Mungu unayempa promo mbona anaonekana kuwa mbaguzi na mkanda?

Halafu mbona vitu vingi ulivyotaja ni man made?

Kila sehemu ina faida zake, ndo maana hata hao watu wa kaskazini wanasafiri mikoa mingine kutafuta pesa.
Wangekuwa na kila kitu wangeishi kwao bila kutegemea mikoa mingine.
Waisraeli wamesambaa dunia mzima je kwao kukoje, katafute jenga NYUMBANI
 
Mkuu usitengemee utafanikiwa kimaisha sehemu uliyo zaliwa ni wachache sana ndiyo maana unawaona wametoka kwao na kwenda kwenye mikoa mingine

Hujiulizi kwanini Dangote kaja kuweza Tanzania?

Wahindi, Waarabu wametoka kwao ulaya wamekuja kuwekeza Tanzania?

Think big mkuu hahaha

Jibu zuri sana hili mkuu. Sisi hatukai sehemu moja,tunasambaa kuzisaka na mwisho wa siku tunarudisha collection zetu Arusha. This is what we guys do
 
Back
Top Bottom