Ama Kweli Huyu Jamaa ni Noma

Najua unamaanisha dudu..ila mbona kwa sisi wanaume ukivaa bukta hiyo ni kawaida bhana...
 
hii sio jezi ya yanga ni frana za kijani na njano hambazo hutumia kuchezea mechi yanga....
 
Amesimama kama amebanwa na nye.ngo
 
Sitousahau ushauri wako, nakumbuka uliniambia, kama mzigo nautaka niutokee, nimetesti zali kimeeleweka
Asante sana mkuu
Pamoja mkuu kilakitu nikujilipua!Hongera sana mkuu!
 
Huyu ndio yule mchezaji Porn Star😕

"Nlikuwepo":bolt:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…