Ama kweli, hakuna mwanamke mbaya

Ama kweli, hakuna mwanamke mbaya

Usidharau uwezo wa make up set mkuu,akiamka asubuhi utapata better view.

Atukuzwe Mola aliye mbora wa waumbaji.

kwahiyo make up ndo zinamfanya aonekane mrembo! na shape je? au mchina? ila yule anainekana si mchina.
 
Piga saluti kwa pesa wewe! Mimi o level alikuwa mchizi tulikuwa tunamuita bandidu, mchizi alikuwa bandidu kweli aisee ukimcheki mara ya kwanza lazima ushtuke kidogo. On top of ubandidu alikuwa na jicho moja kama linataka kuwa chongo flani. Juzi nipo misele prado moja matata inanifungia breki miguuni anashuka bandidu aisee, kama Will Smith vile na lile jicho lilishafumbuka.
 
Pesa ni sabuni ya roho wahenga walishasema mkuu!!
 
Back
Top Bottom