Hacha maskhara mkuu, huwezi kumfananisha mzee wa Gombe na huyu jamaa yako. Huyu jamaa mbona "beautiful" tu kwa mzee wa Gombe. Kwanza mzee wa Gombe ana sura nzito inayotisha na inafanana kabisa na wale ndugu zake. Inawezekana katika process ya evolution, process ilikuwa corrupted or interrupted...