Ama kweli CHADEMA "pumzi imekata"

Hapo viongozi wakiwaomba hao wafuasi waingie road 7/7. Wote wsnainia bila kuogopa kufa.
CCM mwisho wao upo karibu kabisa.
 
CCM sijui wanafeli wapi.

Waende wakajifunze dubai Huko, Viongoxi wana pesa chafu, Wananchi wana pesa chafu, Miundombinu iko vizuri.

Hakuna mwenye muda wa kufatilia unatumia vipi pesa za umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…