wanajamvi nimekuwa nafuatilia ziara ya waziri magufuli ya ukaguzi wa barabara mikoani na matamshi anayoyatoa kwa wananchi juu gharama ya ujenzi wa barabara hizo,mh magufuli bila hata aibu huku akijua anawadanganya wananchi kuwa barabara hizo zinajengwa na ccm,huku akijua kuwa ni fedha zinazokopwa na walipaji ni wananchi hao anaowadanganya? Ikitokea nchi ikaongozwa na chama tofauti na ccm kuna milima ya ufisadi ktk wizara hii ya ujenzi utaibuliwa na bila shaka ni muhusika namba moja.Aendelee tu na kampeni za uraisi kwa kisingizio cha kukagua barabara wakuu nawasilisha.