Ama kwa hakika na mlaaniwe wote.

Sorry mm si muumini wa kiislam.. yet nakubaliana na ww kuwa si vizur kuzin sikuu.. maana hii siu si ya unzinzi so ni dhambi. Lakin siuala la kuwa kila mtu alaaniwe hizo ni sala za mbuzi wa machinjioni.

Huna ujiran na Mungu kwamba kila mtu alaaniwe. So futa hiyo kauli.
 

I love the idea,kupotezea hisia ni jambo rahisi lakini sio mara zote...kuna muda inakuwa ngumu kuzicontrol so inabidi tu kufanya

Halafu sio kama nalala na mwanaume yoyote,nalala na mwanaume niliye katika mahusiano nae tu...ninayempenda
 
We sema una hasira...uliahidiwa gemu siku ya leo ukazidiwa kete....we kaa ndani ule biriani....acha watu wale raha zao
 
nyenge sio poa chief πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…