Ama hakika, azamtv wamebadilika sana

Ama hakika, azamtv wamebadilika sana

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,447
Reaction score
11,505
Yani kwasasa wanakupa kitu kinachouza zaidi bila kujali itikadi ya Dini, Miaka ya nyuma wakati wanaanza hawakua hivi! Safi Sana
Screenshot_20250426_110423_Instagram.jpg

Hongera sana Sheikh, maalimu Mzee bakhresa
 
nI kweli wamesikiliza malalamiko na wameyafanyia kaz

Ingawaje hata kama wangeamua kushupaza shingo hakuna chochote wakiristo wangeweza kuwafanya ama chochote kisingebadilika

Wakristo wangeendelea kununua ving'amuz na vifurushi kama kawaida
 
Back
Top Bottom