Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie


Bhaaaaaassssssss
 
mla kala leo bibi weeeee mala jana kala nini!NDIMU NITUME MIE!
ubuyu takufatia hata zenziberi ule wa maembe mabichi!
walahi tapanda boti mie nende!
shikamooo zombie!SHIKAMOOO TENA!:yo::yo::yo::yo::yo:we kidume i see!

take a bow kwa Zombie.
 
Damn!
Nilikuwa wapi kuona hii makitu?
We konnie wewe ndo nini sasa kujitia kisebusebu na kiroho papo? Yatakushinda na utakosa kote kote.
Btw nitafuraaaaaaaaaahi .
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha

Nimeaamua kula yamini

mla kala leo bibi weeeee mala jana kala nini!NDIMU NITUME MIE!
ubuyu takufatia hata zenziberi ule wa maembe mabichi!
walahi tapanda boti mie nende!
shikamooo zombie!SHIKAMOOO TENA!:yo::yo::yo::yo::yo:we kidume i see!
 
Kama una kisimbuzi kinachoshika channel nahamia kwako

Damn!
Nilikuwa wapi kuona hii makitu?
We konnie wewe ndo nini sasa kujitia kisebusebu na kiroho papo? Yatakushinda na utakosa kote kote.
Btw nitafuraaaaaaaaaahi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…