hivi wana jf naomba mnifahamishe ..hivi unapoamua kumwoa mwanamke yeyote tk familia yeyote ,pale unakuwa umemwoa huyo mwanamke au umefunga ndoa na ukoo wake mzima?
ndusyepo
Mbona wao walikuamini na kukukabidhi mwanao, iweje leo unaanza kuwatenga?
Tubhule kanunu nkamu...fiki hifi fikukutamya?
hiyo ni lugha gani tena? vipi mzima wewe?
Kinyaki hicho...
Mie mzima...habari za uzima wako?
Na hapo ndo mnapoambiwa angalieni makabila mnakoowa..... tatizo lenu mnadhani huo ni uzamani...hivi wana jf naomba mnifahamishe ..hivi unapoamua kumwoa mwanamke yeyote tk familia yeyote ,pale unakuwa umemwoa huyo mwanamke au umefunga ndoa na ukoo wake mzima?
Unadhani wanapokuja mkeo/mumeo anakuwa hajui..??? We mtoe baru halafu uone kitakachofuata toka kwa mkeo/mumeoBaba mkwe na mama mkwe nitawavumilia lakini kaka na dada sijui mjomba na shangazi kwakweli nitawatoa baruti mbaya.
Unadhani wanapokuja mkeo/mumeo anakuwa hajui..??? We mtoe baru halafu uone kitakachofuata toka kwa mkeo/mumeo