Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,510
- 6,100
aargh,ila unaonekana sio mtamu kivileee,af una tumbo flani...
Mmh wewe!...teh teh teh teh...single mother **** chakavu..jobless...bado unakohoa na kutapika?...,tezi na kuharisha kumeisha?
...unavyoipenda JF huchoki kubadili avatar....ila 'Izraeli' anakupenda zaidi..,hufi na mtu humu!!
..R.I.P
Kuja pande hii ya PM LODGE.Jamani eee! Nimechoka ku date wanaume wazuri wa SURA, MFUKONI WABAILIIII! Yaani kila nikipata mpenzi ni mzuri, najikuta na fall kijinga, lakini WABAILIIII, MI SIWATAKI TENA.
Naomba MWANAUME MWENYE MOYO WA UTOAJI ANIONE NA MIMI NITOKE, ALAU NITOLEWE OUT ZA MAANA MWISHO WA DUNIA HUU JAMANI SJAPANDA NDEGE KWENDA NJE YA NCHI. Please anaejiweza aje Pm hatajuta na mimi ntampenda vile atahitaji.
Msinichambe please nimesema ukweli wangu
Pole sana mdada mzuri bora umeongea ukweli wako toka moyoni maana msela kweli ni mpenzi wa MUNGU..... Ni PM hakika Mimi ndo suluhisho la moyo wako!!Jamani eee! Nimechoka ku date wanaume wazuri wa SURA, MFUKONI WABAILIIII! Yaani kila nikipata mpenzi ni mzuri, najikuta na fall kijinga, lakini WABAILIIII, MI SIWATAKI TENA.
Naomba MWANAUME MWENYE MOYO WA UTOAJI ANIONE NA MIMI NITOKE, ALAU NITOLEWE OUT ZA MAANA MWISHO WA DUNIA HUU JAMANI SJAPANDA NDEGE KWENDA NJE YA NCHI. Please anaejiweza aje Pm hatajuta na mimi ntampenda vile atahitaji.
Msinichambe please nimesema ukweli wangu
MamboNjoo kwangu,nakupa na kadi ndogo ya EXIM,utakuwa na uwezo wa kudraw bila kunipigia ilimradi usivuke kiasi fulani
Poa!hujambo mrembo?Mambo