Mi nataka ya mwenyewe mwenyewe kama ulivyoandika hapa...
ONE LOVE, ONE HEART, LET'S GET TOGETHER N .............................! !
yeah but not by u............
Ha haaa mimi hii foleni ya magari inanitosha
foleni ya rehearsal siihitaji lol
foleni si zina trafiki bana!Ha haaa mimi hii foleni ya magari inanitosha
foleni ya rehearsal siihitaji lol
foleni si zina trafiki bana!
hata ikiongizwa na mwema mwenyewe????
boraa umegundua maana kuwa tempted na mtu na kumtempt mtu is an art if u dont have it utaachia ngazi tuu kama sungura akidai sizitaki mbichi hizi...................
haaa sasa hizi zingine?
just join the jam buddy!
maswali meeengii! ah!
au wimboo huujui???usijali my wee ni booonge la mwalimu will give yu the train ya steps na lyrics zake!
eti my wee!
Kabisa na wifi yangu snowhite ni mwalimu mzuri tuu loooh!! Bora uwahi darasani tena ukae siti ya mbele. Chezeiya being tempeted and temp somebody weye.
Itabidi nipate mwalimu wa hii art aisee
Ungekuwa wafanya riheso ya mduara ningekuja...
Mimi angekuwa anafanya rehearsal ya Blues..i'd definately have accompanied her!!!
aaahahahhahahahhahahahhahahahha thanks kwa kuniuzia kesi kama nilivokuuzia mimi! The Boss kazi kwako!
kweli walimu wawili at ur service tena wote wanakiri ujuzi wa the other ,ahahahahhahhaha unataka nini i see!
hebu kuja darasani!