Am soooo tired of being lonely

Aisee mimi mzima niko nawanga usiku nimekosa network imenibidi kupanda juu ya bati majirani wakiniona hawachelewi kunipigia kelele za mchawi

hahaha bora umenipa kicheko,nenda kalale kabla hujapigiwa hiyo kelele
 
RR, am impressed by your honest concern and opinion about this issue.

Kibali, nakuombea dua yako ipate Kibali machoni pa Bwana....umpate umpendaye. Amen.
thanks... Maybe I am too naive ila nadhani mtu akiwa desperate kiasi hiki kwa issue ambalo lina weza kupata solution ni lazima asaidiwe. maybe she is just wasting our time, or maybe she is genuinely depressed and needs advise and help...
 
all is good RR....you are not that naive...I think you are just giving her a normative perspective on this issue...big up
 
Maisha sometime yanakupeleka uckotarajia ! So endelea kuvumilia mambo yatakuwa mazuri, naamini hapa JF wapo mabachelor wengi tuu, kama kweli una sifa uluzoanisha cna wasiwasi utapata m2, wengi wanapenda vi2 vizuri na productive! i think ur valuable enough, dont give up,labda kama umri umeenda sana!
 
ivi TF kitanda chako kina kunguni ama nini loln (Kibali anakusubiri mkaangalie Movie and I suggest muwatc "escape from madagascar' lol)
Hahaha!!! Leo zamu yangu lindo la usiku sasa tukienda kulala wote si Kibali ataendelea kubaki mpweke lol
 
all is good RR....you are not that naive...I think you are just giving her a normative perspective on this issue...big up
yeah. I think at some point kila mtu anapitia kipindi hiki na kina tu-affect kwa viwango tofauti... ila namuelewa sana tu...
 
Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.

Ngoja nikuulize swali moja ndo ntajua kama kweli upo siriasi ama lah,ikitokea umepata watu 5 wamekuaproch hapa na mimi nikiwa mmoja wao,je utatumia strategy zipi kumpata anayekufaa kati yetu?
 
Nita ku pm nimwage cv yangu tunaweza kuendana alaf 2kaanza maisha manake mm ni bachela
 
RR asante kwa wema wako,,napenda vitu vingi outing ikiwa moja wapo,tatizo liko hivi,natakiwa nisahau kwa muda gani na umri nao unasogea?utata ninaoupata mbona huwa sitongozwi ni nini!

Kama hutongozwi c unajitongozesha? Kwan mpaka wakuanze jaman? We hujui kutega? Lol
 
Ngoja nikuulize swali moja ndo ntajua kama kweli upo siriasi ama lah,ikitokea umepata watu 5 wamekuaproch hapa na mimi nikiwa mmoja wao,je utatumia strategy zipi kumpata anayekufaa kati yetu?

hilo nalo neno,atuambie mana na mimi ni wa pili
 
Tatizo lako ni kubwa na la kisaikolojia zaidi naomba tuliza akili ukiwa na papara utaambua kupata midume kama lako la awali. Niko via mobile siwezi kukuPM Je naweza kupata namna ya kukupata nikusaidie zaidi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom