Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Boss mbona umekamia sana kwenye uzuri,kiukweli niko kiwango huwa naambiwa na me/ke,sasa unanishaurije Boss wangu?
we hujui the boss anataka umwambie una wowowo la kufa mtu ndio apime uzuri. Lol!
The B usisome hapa.