Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Leo acha nikacheze muziki pale ambassador lounge....
Hahahahaaaaa Ismail N. Juma fungukaaaaaaaa kijana vivian ijumaa imetulia huku ni balaa yan hali ya hewa ni kama Lushoto mlimani au Marangu!
Hureeeeeeeee.
Wale mlio Dar jamani Tupeane ramani. Mie nitakua Billionairs Club weekend yote hii
This is what I will put on.
![]()
Na wewe pia. Asante kwa ma like. gonga na hapa pia.
![]()
soge hapa tuanze kunywa Erickb52 na vivian shapu huku
View attachment 77048
huogopi gwanda la jeshi?
HUYU DADA anatia watu majaribuni... mie nimeamua kumpa nyumba na gari nione kama atakubaliwe mwana we, kijiti na jicho!
Usimwonyeshe yule chapachapa Erickb52,hachelewi kutuharibia mtoto
dada yangu huyu mi nakutongozea mwenyewe na hadi guest nakupelekea sawa?she appears to be palatable, tatizo Mama v anakaba hadi marefa
Heheheee hujui bado niko kwenye Doz?soge hapa tuanze kunywa Erickb52 na vivian shapu huku
View attachment 77048
Heheheee hujui bado niko kwenye Doz?
Hahahaaa nasikia unatafutwa na familia yako nini tena
ha ha ha ha ha mtakabane vasasha vakwa.
Nimegundua watoto ndio wanaoniharibu.
Nimeamua kuwatosa wapotelee porini. Niko zangu na Kipipi a.k.a kipotabo
Kwani ushaambiwa Kipipi ni mmoja duniani?Mbona kipipi yupo nguludoto lodge na rafiki yangu toka asubuhi, appartment namba 4
Kwani ushaambiwa Kipipi ni mmoja duniani?
Mbona Ismail N. Juma wapo kama 190 hivi ninaowafahamu? Huyo aliyeko Ngurudoto ni Kipipi wa umasaini huyu wangu ni kitu cha Mbulu