Am so Happy Its FRIDAY!!!!!!!!

Am so Happy Its FRIDAY!!!!!!!!

Hureeeeeeeee.

Wale mlio Dar jamani Tupeane ramani. Mie nitakua Billionairs Club weekend yote hii

This is what I will put on.

28755_383484618410214_514377391_n.jpg

Wavivu mnajulikana tu ikifika Furahi day mnafurahi ikija monday mnanuna
 
Huyo huyo wako! Si mbulu? Eeeh.... maana nilishika simu yake nikakuta jina la Erickb52 mpenzi wa akiba
Kwani ushaambiwa Kipipi ni mmoja duniani?
Mbona Ismail N. Juma wapo kama 190 hivi ninaowafahamu? Huyo aliyeko Ngurudoto ni Kipipi wa umasaini huyu wangu ni kitu cha Mbulu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom