TINGA TINGA
New Member
- Jun 7, 2011
- 4
- 1
Hapo red, ufafanue vema...! Maana huenda hujajua unachosema....!Habari wana JF,
Siku hizi, japo kuna imani za kidini kuna wanaoamini kuwa ni vigumu kufunga pingu za maisha bila kuonja tamu ya asali. Siku zote Mimi nimekuwa miongoni mwa wanaopingana na huu mtazamo. Nimeishi maisha yangu yote kwa misingi ya malezi bora ya wazazi wangu na imani yangu kuwa ni marufuku kufanya hivyo mpaka siku hiyo maalum kwa baraka zote za mwenyezi Mungu. Nikatenda yote na nikafanya kweli, nikampata nimpendaye naye akawa na msimamo kuwa hakuna kuonja mpaka siku yenyewe. Nilivyompenda sikuwa na jinsi nikajikaza kiume mpaka siku hiyo.
Siku ikafika, na kila mmoja akafurahi. Muda ukafika wa kupata mtoto. Kadiri siku zilivyoenda nikagundua mapenzi yanahama slow but surely kutoka kwangu kwenda kwa mtoto. Nikajaribu kukaa na mwenzangu na kujaribu kumweleza hisia zangu, nikamweleza pia kuwa huwa ninafurahi tuwapo uwanjani ningependa A, B, C, ............ Nikajikuta napigwa maswali kibao, oooh, umepata kujua wapi hayo, hizo style umepata wapi, umejifunza wapi. Duh jamani nikajaribu kumweleza ukweli lakini hanielewi. Hataki hata kuona nikiwa na CD ya mambo yale, tukiangalia TV hata tukiwa wawili tuu, akiona picha/movie inayomwonyesha msichana nusu uchi, au mashindano ya miss, anasema nibadili channel, tukiwa uwanjani hawezi kwenda zaidi ya mara moja, tena hunitangulia dk chache tuu kashamaliza, then ananiambia nimalize tuu kashachoka (tena kabla yangu mimi mwanaume, wakati mimi namfanyia kila kitu) na hataki manjonjo, kulamba koni hawezi. I can stay even a month hata hatujakutana na yeye hajali anamaind kazi zake na majukumu tuu.
Ukweli baada ya muda nikajikuta nimeruka ukuta, na nilichokuta huko sina hamu tena ya kurudi ndani. Ukweli ninajikuta mtu wa mawazo tuu niko dillema niendelee kutoka nje (pia naogopa) na nisipotoka najiona highly stressed.
Kumbe unasaidia?!Nwy niambie wakati unasaidia yeye anafanya nini?!Hua anashukuru au hata ku-acknowedge kwamba umefanya kitu ndani ya nyumba?!Ana furaha?!Wee Lizzy, nisaidie mpaka wapi? nafua, napika alipokuwa mjamzito nadeki, usiku nambadilisha mtoto akijichafua sasa nisaidieje? Ok. otherwise good advise, ila hapo bado haijakaa sawa mpaka nifanyaje ndo aelewe.
pole sana,maisha ndivyo yalivyo.habari wana jf,
siku hizi, japo kuna imani za kidini kuna wanaoamini kuwa ni vigumu kufunga pingu za maisha bila kuonja tamu ya asali. Siku zote mimi nimekuwa miongoni mwa wanaopingana na huu mtazamo. Nimeishi maisha yangu yote kwa misingi ya malezi bora ya wazazi wangu na imani yangu kuwa ni marufuku kufanya hivyo mpaka siku hiyo maalum kwa baraka zote za mwenyezi mungu. Nikatenda yote na nikafanya kweli, nikampata nimpendaye naye akawa na msimamo kuwa hakuna kuonja mpaka siku yenyewe. Nilivyompenda sikuwa na jinsi nikajikaza kiume mpaka siku hiyo.
Siku ikafika, na kila mmoja akafurahi. Muda ukafika wa kupata mtoto. Kadiri siku zilivyoenda nikagundua mapenzi yanahama slow but surely kutoka kwangu kwenda kwa mtoto. Nikajaribu kukaa na mwenzangu na kujaribu kumweleza hisia zangu, nikamweleza pia kuwa huwa ninafurahi tuwapo uwanjani ningependa a, b, c, ............ Nikajikuta napigwa maswali kibao, oooh, umepata kujua wapi hayo, hizo style umepata wapi, umejifunza wapi. Duh jamani nikajaribu kumweleza ukweli lakini hanielewi. Hataki hata kuona nikiwa na cd ya mambo yale, tukiangalia tv hata tukiwa wawili tuu, akiona picha/movie inayomwonyesha msichana nusu uchi, au mashindano ya miss, anasema nibadili channel, tukiwa uwanjani hawezi kwenda zaidi ya mara moja, tena hunitangulia dk chache tuu kashamaliza, then ananiambia nimalize tuu kashachoka (tena kabla yangu mimi mwanaume, wakati mimi namfanyia kila kitu) na hataki manjonjo, kulamba koni hawezi. I can stay even a month hata hatujakutana na yeye hajali anamaind kazi zake na majukumu tuu.
Ukweli baada ya muda nikajikuta nimeruka ukuta, na nilichokuta huko sina hamu tena ya kurudi ndani. Ukweli ninajikuta mtu wa mawazo tuu niko dillema niendelee kutoka nje (pia naogopa) na nisipotoka najiona highly stressed.
Habari wana JF,
Siku hizi, japo kuna imani za kidini kuna wanaoamini kuwa ni vigumu kufunga pingu za maisha bila kuonja tamu ya asali. Siku zote Mimi nimekuwa miongoni mwa wanaopingana na huu mtazamo. Nimeishi maisha yangu yote kwa misingi ya malezi bora ya wazazi wangu na imani yangu kuwa ni marufuku kufanya hivyo mpaka siku hiyo maalum kwa baraka zote za mwenyezi Mungu. Nikatenda yote na nikafanya kweli, nikampata nimpendaye naye akawa na msimamo kuwa hakuna kuonja mpaka siku yenyewe. Nilivyompenda sikuwa na jinsi nikajikaza kiume mpaka siku hiyo.
Siku ikafika, na kila mmoja akafurahi. Muda ukafika wa kupata mtoto. Kadiri siku zilivyoenda nikagundua mapenzi yanahama slow but surely kutoka kwangu kwenda kwa mtoto. Nikajaribu kukaa na mwenzangu na kujaribu kumweleza hisia zangu, nikamweleza pia kuwa huwa ninafurahi tuwapo uwanjani ningependa A, B, C, ............ Nikajikuta napigwa maswali kibao, oooh, umepata kujua wapi hayo, hizo style umepata wapi, umejifunza wapi. Duh jamani nikajaribu kumweleza ukweli lakini hanielewi. Hataki hata kuona nikiwa na CD ya mambo yale, tukiangalia TV hata tukiwa wawili tuu, akiona picha/movie inayomwonyesha msichana nusu uchi, au mashindano ya miss, anasema nibadili channel, tukiwa uwanjani hawezi kwenda zaidi ya mara moja, tena hunitangulia dk chache tuu kashamaliza, then ananiambia nimalize tuu kashachoka (tena kabla yangu mimi mwanaume, wakati mimi namfanyia kila kitu) na hataki manjonjo, kulamba koni hawezi. I can stay even a month hata hatujakutana na yeye hajali anamaind kazi zake na majukumu tuu.
Ukweli baada ya muda nikajikuta nimeruka ukuta, na nilichokuta huko sina hamu tena ya kurudi ndani. Ukweli ninajikuta mtu wa mawazo tuu niko dillema niendelee kutoka nje (pia naogopa) na nisipotoka najiona highly stressed.
Ahaaaaa.....umeona sasa umuhimu wa kutest ZALI mapema?? Ndio hapo ujue dunia sasa imebadirika, ukitaka kuishi kama uko kwenye karne ya 11 wakati sasa tunazungumzia sayansi, teknolojia na utandawazi huwezi kwepa hizo changamoto za kileo na ndio maana umegundua mambo ya kulamba koni, kuruka ukuta na usipoangalia utaruka mpaka PAA la nyumba kisha watu wakushangae na utu uzima wako kufanya mambo hayo, kwa kizazi cha sasa MAUJANJA yote wenzio humaliza katika foolish age kwahiyo anapokuja kwenye commitment ya ndoa anakua amefanya selection sahihi na hategemei kukwazika ktk MIUNDO MBINU labda tu awe KICHECHE hajaridhika. Ushauri wangu Brother ni kujitahidi kumuelimisha taratibu akuelewe na mambo mengine umzoeshe kiaina taratibu na utani mwingi ili kuzuia hasira na kichapo kisha atazoea na kuona TAMU ya ASALI.Ikishindikana Bro basi vumilia ndio shida na raha hizo ulizo ahidi kuzivumilia siku ile ulipo utangazia Umma mbele ya Ushahidi wa Kiongozi wa Dini kwamba uko tayali kuya vumilia. Tena hata kama ni Muislam, usithubutu kuoa mwingine wa pili kwa sababu hizo maana lengo la ndoa ya pili si kwa matatizo ya ndoa ya kwanza. Ndoa Haita Swihi!Pole Mkuu ndio Kidunia.Wee Lizzy, nisaidie mpaka wapi? nafua, napika alipokuwa mjamzito nadeki, usiku nambadilisha mtoto akijichafua sasa nisaidieje? Ok. otherwise good advise, ila hapo bado haijakaa sawa mpaka nifanyaje ndo aelewe.
Pole asana kwa yaliyo kusibu..jitahidi uonane na psychologist wa mambo ya mahusiano mapenzi na ndoa. siku huzi wapo wengi na wanasaidia sana.Habari wana JF,