Am not sure . . . . Nipe Macho Nione!

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Posts
10,707
Reaction score
5,682
Kwa upande wangu mwaka uliisha mara tu siku ya Christmas ilivyopita.
Namshukuru Mungu nilivuka salama japo kiafya siko mzima sana.

Ila leo nimekaa naona kuna huzuni inaniandama,
Nimejaribu kutafakari sijapata jibu.
Lakini pia nimefikiria labda kuna kitu sijatenda/ sijawatendea vyema wenzangu . . .
au yawezekana nimekwazika . . . . . napo sina uhakika!

Hivyo basi . . . kutokana na hii hali, huu wimbo umekuwa ni important sana kwangu siku ya leo,
kwa hivyo nau dedicate na kwa yeyote utakaemgusa pia.


All along with love.
Be Blessed!
Kipipi
 
Last edited by a moderator:
Thanks Kipipi
Mi nimekuwa na furaha muda wote...!
Kuhusu kupona utapona soon.
Hope leo uko nafuu eeeh
 
Last edited by a moderator:
Thanks Kipipi
Mi nimekuwa na furaha muda wote...!
Kuhusu kupona utapona soon.
Hope leo uko nafuu eeeh

Naendelea vizuri hilo halina shaka kabisa.
Thanks!

BTW, hongera kwa furaha uliyonayo, maanake hizi siku nazo huwa hazilingani.
 
Naendelea vizuri hilo halina shaka kabisa.
Thanks!

BTW, hongera kwa furaha uliyonayo, maanake hizi siku nazo huwa hazilingani.
Waooo!
Nashukuru kama uko salama walau!
vipi hiyo nafuu inaweza kukuondoa kwenye chama changu au bado bado kidogo?
 
Kwa hilo hakuna tatizo ila faraja nzuri akipata na kwenu shem wangu!
Mwombee basi apone kwanza!

ntamuombea shem, ila c ajabu wivu unamuumiza kipipi, hebu kwanza vunja ratiba za nyumba ndogo zako.
 
Waooo!
Nashukuru kama uko salama walau!
vipi hiyo nafuu inaweza kukuondoa kwenye chama changu au bado bado kidogo?

Chama nilikihama tangu siku hiyo hiyo usiku.
For wakunijali nao hawakuwa mbali na mie.
 
ntamuombea shem, ila c ajabu wivu unamuumiza kipipi, hebu kwanza vunja ratiba za nyumba ndogo zako.
Shem mi siku hizi unaniona na small house?
Siunajua hata yeye hanaga makuu wala hajawahi kuwa na kshfa kama wewe yan wewe ulikuwa na klorokwini ukahamia kwa @Uporoto1 ila bahati mbaya ukanyang'anywa Kabakabana (Akajiita uporoto@kabakabana.com) then ukaishia kwenda kwa Judgement ambako hukudumu ukampata member wa jukwaa la siasa ambaye alikuambia uachane na JF ukaondoka....umerudi tena ila najua bado unaangalia ujishikize kwa nani lol

Iga mfano wangu shem kwa sasa nafaa kuigwa! Kipipi na mimi hadi JF iote kutu
 
Last edited by a moderator:
ntamuombea shem, ila c ajabu wivu unamuumiza kipipi, hebu kwanza vunja ratiba za nyumba ndogo zako.

Japokuwa sijajielewa vizuri ila sio wivu.
My dear swahiba, naomba tu nikuhakikishie kuwa hapo mmiliki ni mmoja tu na mie sijawahi kuwepo kabisa.
 
Chama nilikihama tangu siku hiyo hiyo usiku.
For wakunijali nao hawakuwa mbali na mie.
Ok sawa....!
Sasa unahisi nani kakuudhi humu?
Kuna watu wanaboa sana aisee yan mijamaa humu na ID zao wanapollute sana amani.
 

Alafu wewe . . .???
 

khaaa! Shem mbona una utani unaofanana na ukweli! Lol!
Namsubiri klorokwini wangu arudi nijirudishe kwake, wengine wote nimetupa kuleee!
 
Last edited by a moderator:
Japokuwa sijajielewa vizuri ila sio wivu.
My dear swahiba, naomba tu nikuhakikishie kuwa hapo mmiliki ni mmoja tu na mie sijawahi kuwepo kabisa.

sasa tatizo nini dia? Funguka kidogo tukusaidie.
 
Kuhisi kubaya . . . . ndo maana nikaingia kwenye ulimwengu wa roho.
Hahahaaa sawa mama Mchungaji lol
Anyway jambo la msingi ni kusamehe tu tena usiwe unalala na kinyongo na mtu hata kama hujamwambia kuwa umemsamehe ila moyoni mwako samehe na usahau itakusaidia Kipipi .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…