Am new member(utambulisho)

Wewe ulikuwa hujui umeelekezwa ukajua mpaka ukaweza kuingia jukwaa la dini na jukwaa la wakubwa....umewezaje kusoma huku ulikuwa hujui kama mimi????? jonax

Mimi ni underground mkongwe.

Ila nitakuelekeza...!

UNAFANYA HIVI;
unamtumia moderator pm, ukisema "naomba uniunganishe kwenye jukwaa a dini na jukwaa la wakubwa"

Baada ya hapo atakutumia msg na ww pm kywa tayari kashakuunganisha
 
tena amejifungua mapacha.
1473696739418.jpg
 
Back
Top Bottom