Am looking for any Part time job in Moshi Kilimanjaro

Am looking for any Part time job in Moshi Kilimanjaro

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
642
Reaction score
575
Habari Wana jf..Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili kutokan na ratiba ya masomo yang kuisha mapema (saa nane mchana) mdogo wenu naomb Kaz yoyote Ile kuanzia mda huo mpka saa tatu au nne usiku
Location: Moshi Kilimanjaro
Contact:0621554787
 
Mfumo wa ajira bongo hausapoti kazi za masaa kama Kwa wenzetu ....hapa lazima uanze saa 2 hadi saa kumi jioni ...
 
Back
Top Bottom