Nuran Jr
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 273
- 234




kumbe kuna uhusiano Kati ya kusoma na kutafuta maisha eeehI BLNG 2 JESUS CHRST




kumbe kuna uhusiano Kati ya kusoma na kutafuta maisha eeeh"Blaza" upo?Hivi da Zawadi unataka kumuiga ndugu yako yule ambaye naye aliolewaga na mzungu au? Kisa unaona katoto kake kazuri? Au kwa sababu anacheka unadhani ana furaha sana. Kweli usilolojua ni sawa na usiku wa giza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini lakini mbona umeniandama kama kumbikumbikumbe kuna uhusiano Kati ya kusoma na kutafuta maisha eeeh
I BLNG 2 JESUS CHRST
samahani nlikuwa cjui mkuu kama nakuandama
Now you knowsamahani nlikuwa cjui mkuu kama nakuandama
I BLNG 2 JESUS CHRST






Yeah huko usijali kabisaUko smart mpk kichwani sio? Haya leta na ww vigezo vyako tufanye colabo
Hivi Madame B, yuko ? kitambo sana sijamsikia
Tupo ndio.sasa kama unahitaji mzungu au mhindi huku jf ndo wapo...?????
I BLNG 2 JESUS CHRST
Ukapimwe mkojo aisee























mkuu ungekua karibu ningekupa beer zako 5....Wewe mwenyewe una sifa gani na uzuri gani? Siyo unaandika tu sifa za mtu umtakaye wakati zako hazijulikani.Qualifications:
Tall
Handsome (smart man)
Asiwe mwebamba sana wala mnene sana
Age from 28 to 45
Asiwe na kitambi
Anaweza kuwa mume wa mtu au la
Sihitaji ndoa (stress tupu)
Mtoto akizaliwa ana uhuru wa kuhama kumtunza au kumpotezea (sishindwi kulea mwenyewe)
Mzungu au muhindi atafikiriwa zaidi
For more pm
Sent using Jamii Forums mobile app
ila si unajua sisi wa udongo wa maka ile kitu tunapenda...