ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½
Ila mie nimejaliwa appetite ya kutosha ππusije kubaki mdomo wazi πππ
ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½
Ila mie nimejaliwa appetite ya kutosha ππusije kubaki mdomo wazi πππ
Karibu mezani... Yaani wenyewe wanasema it's so yummy.
Acha nikitendee haki na kukipa hadhi yake.
Kasinde.
Unajipenda na kuutendea haki mwili wako hawa wa siku hizi walivyo wavivu angeagiza pizza na soda siku imetoka lakini weye huoni uvivu kuingia jikoni kuandaa chakula cha maana hongera sana kwa hilo. ππ½ππ½
Enjoy K Matata usisahau kuchukua pic.
Aahahahahaa thank you BAK, nimeshibaaa....
Picha nimechukua na nimeshaiweka kwenye kitabu cha picha, kumbukumbu mujarabu.
Kusema ukweli sipiki Kila siku Ila siku nikiingia jikoni lazima tumbo litambue Chief Kasie was on duty.
Kuna binamu yangu mmoja asiye nyama ya hamu alikula pilau langu, aliongeza hadi akahakikisha sufuria imeisha ndo akaweka nukta. Alishindwa kujizuia kushiba, ikabidi nikorogee green tea kabla hajaondoka eehehehehheee.
Thanks for the compliments sign friend.
Kupika kila siku na kwenda kazini ngumu hasa ukitilia maanani foleni za barabarani Dar. Hakuna desert? πππ
Yeah japo huku bondeni kuna namna naweza kwepa foleni.
Aahahahahahhaaa umenichungulia nini? Desert ziko mbili... Picha ziko kwenye album.