nitakuwa naye kwenye shida na raha=siyo shida mwanamke au mwanaume kumletea mwenzake ni shida za dunia zitakazowafuata ndiyo mzivumilieKiapo cha ndoa kimeandikwa" nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha".
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.
Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepokea kwa utekelezaji πkama kutakuwa na sifa hapo naona mambo yatakaa sawa
mkuuu uongee short and clear, ukiprolong sana kutaibuka mengine
hahahahahah
Nitakuwa mpole huku nikiria kamvinyo kangu...ubarikiwe sana. Hv muda bado eeeh bado nasubir mnipitieNimepokea kwa utekelezaji π
Na Wine ile unayopendaga itakwepo π₯π
Kikao kitaanza saa 2 usiku, muda huu unaweza kupata Wine yako kwa Mangi bill atakuja ku clear @aspirin mwenyewe πΎπNitakuwa mpole huku nikiria kamvinyo kangu...ubarikiwe sana. Hv muda bado eeeh bado nasubir mnipitie
Ipo ndani ACHa nijilipue kwanza...ume mu underate my @aspirin...kikao kitakugeukia ujue..yaan mm nikachukie wine kwa mangi akati huku nachagua tu ninywe nn....basi leo nachafukwa nakunywa ile Hennessy yakeKikao kitaanza saa 2 usiku, muda huu unaweza kupata Wine yako kwa Mangi bill atakuja ku clear @aspirin mwenyewe πΎπ
Nilidhani Wine kubwa ziko nyumba kubwa ya Sky Eclat kumbe hata nyumba ndogo zipo πIpo ndani ACHa nijilipue kwanza...ume mu underate my @aspirin...kikao kitakugeukia ujue..yaan mm nikachukie wine kwa mangi akati huku nachagua tu ninywe nn....basi leo nachafukwa nakunywa ile Hennessy yake
Hapa nipo nakuandalia mashairi mazuri kwa kilugha chetu, nikikuimbia utapenda πHaya anza kunena kwa lugha we nae loh
You rock itππ
Hapa nipo nakuandalia mashairi mazuri kwa kilugha chetu, nikikuimbia utapenda π
Bibi amekubali uwe mjukuu wake, Nina wasiwasi na Babu pale manake naye penda penda asije akaanza kukuomba mcheze kibabu babu π
π§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈYou rock itππ