Ona, at 51 a woman is still craving for a dvck, huyu mbichi kabisa early 30s anakaa miezi minne bila bila.Im 51 years old na yeye yuko 55. Katika umri huu naona im too old kupata bwana. Yeye anadate na vibinti vidogo. Ni bora angeniheshimu anarudi ametapakaa lipstic kwenye vest while im starving sexually. Hii sio ndoa ni mateso
Nyie dada zetu nyie, imagine hapo ukute kaka, baba, mama, mjomba, shangazi, mama wadogo/wakubwa, marafiki wote wameshashauri aondoke lakini ye bado haamini.
Ni mshika dini sawa, hajui kuwa SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU?
Sikumaanisha "kuikimbia" kama neno lilivyo. Ni kuachana na hubby wako kwa talaka, mkuu mimi sishauri mtu akae kwenye ndoa yenye bondia hata kidogo coz ukifa yeye atasubiri kidogo tu na kuvuta mwingine ndani.Kuachana na mtu sababu ya unyanyasaji Ni kukimbia nyumba?
Mkuu ingekuwa ni mwanamke ndiyo anafanya haya kwa mumewe ungeshauri hiviMkuu kwanza wewe hujaelewa my point of view, ishu ni kwamba sometime mwanaume unafanya vitu vya hovyo hata baadae ukikaa chini unajiuliza kwanini ulifanya hivyo, hapo ndio uvumilivu wa mwanamke unaingia na kuombeana kama alivyosema mchangiaji pale juu, sasa sio suala zuri kwa watu mmeishi miaka kumi eti upigwe sijui kofi unawahi polisi.
pili, unakuwa biased sana kuhukumu hii ishu sababu hujasikiliza upande wa mwanaume, mwanamke katia vinaksi kidogo basi raia wote mapovu, shida yetu wabongo ni judgemental and reactive mind
Mwanamke hawezi kufanya hayo mkuu, sababu hata maandiko yanamtaja kama kiumbe mdhaifu.Mkuu ingekuwa ni mwanamke ndiyo anafanya haya kwa mumewe ungeshauri hivi
The way ulivyoanza tu hii thread, tayari umeshapoteza over 50% of menHello,
I have always been reading threads without commenting. Kwanini nimeanzisha hii thread?
I am a married lady..in my very early 30s( with over 11 years of marriage experience). I got married when I was in my early 20s. Graduated my masters in my very early 20s as well.
It has never been a peaceful marriage pamoja na jitihada nyingi nilizofanya mimi kuisimamia na kujinyenyekeza kwa kuweka elimu na appearance yangu pembeni. Kifupi tu ya ninayopitia;
1. Being heavily beaten mpaka kulazwa whenever he drinks( mind you, he is a regular drinker)
2. Hakuwahi kuja msiba wa baba yangu mzazi sababu kuu 'alikuwa na washkaji trip'
3. Sijui sh.yake japo anajenga..so i pay for house and family needs mpaka nilipojua ameandikisha hio nyumba jina la ndugu yake
4. Gari pia nilimpa hela akaninunulie yard hapa mjini karudi kaiweka jina lake. Sio kwamba hana hela..no he is financially stable.( sijui ananikomoa nini na sijawahi kutishia kuondoka wala nini-kwa wanaonijua nje wanaweza kuthibitisha hili)
5. Restrictions with my dress code. Anataka nishone vitenge mpaka miguuni. Ana wivu wa ajabu sana na mimi kupendeza au hata kusuka nywele hataki. Hataki nivae suruali,jeans and he found me wearing all those.He wants me rough NOW na anasema nataka kupendeza kwa ajili ya nani? Ananitumia mpaka threads sijui za wanawake 'wenye makalio makubwa hawana akili' nijitathmini na mimi(he picks everything from the internet). Hili halinisumbui sana because i know nina akili ya shule na maisha pia
6. Sex life is bad..very bad( nilishakamata mengi kwenye simu yake). And to be honest it is better this way..kwamba hatushiriki like normal married couples miezi minne sasa na wala hajali yani sawa tu kwake. Binafsi nitavumilia sababu afya yangu matters a lot
7. Sijawahi kumjibu chochote, ninaomba msamaha hata ninapokosewa, ninaandaa bedroom na scents nzuri, napika napeleka mtoto kwa dada yangu for sleep over ili tupate muda fulani ila ndio anarudi alfajiri na asubuhi ananiuliza nani kanifundisha mambo ya kihuni. Vikao vilishakaliwa mno..i know for a fact, he won't change.
8. I have shared my case kwa mtu mmoja tu,a man lately..ambae amekuwa so concerned na sijui tutaenda nae wapi as am beginning to fall in love na yeye(najua inabidi niwe muangalifu kwa wanaokuja kusikitika na mimi kumbe amenitamani tu kutokana na physical appearance and all that)
Sijaacha kuwa msafi..sijaacha kujipenda BUT i am dying deep down. NO LOVE NO SUPPORT hata ile kidogo na sijamuongelesha kwa mara ya kwanza toka anipige miezi 4 iliopita na kulazwa(sababu hapa ilikuwa sikuvaa nguo kama madira ambapo kazini siwezi kuvaa japo navaa kiheshima sana yet smart)na kisha kurudi nyumbani baada ya kusuluhishwa..hajui naishi vipi japo nina kazi yangu ni kama KAKA NA DADA.
Our wedding was a church wedding. NIMECHOKA. Sijui naanzia wapi kutoka but ninahitaji kutoka kwenye hiki kifungo
I believe atakuja kunifukuza kwenye nyumba alioiandika jina la ndugu yake. Maana hapa ni kama mpangaji na hela anayo mpaka ya kunywa ma hennessy kila weekend. I am a God fearing person deep down..sana! Sikuwahi kuwaza kwanini wengine wananunuaga viwanja pembeni..na nilikuwa mtu wa kwanza kupinga wanawake wa aina hii.
Ninasukumwa kuanza 'ku save kidogokidogo' na kupunguza kulisha familia ili nijipange na kibanda changu japo najiuliza mpaka nimefanikiwa kumaliza kujenga sio leo wala kesho i assume(kutokana na nachoki earn) na nitakuwa tortured kwa level ipi mpaka nimalize kujenga. Niko confused hasa
But I need advice..ninachanganyikiwa hata kazini performance inashuka.
Kindly advice
Ukiachana na kupigwa haujaona hayo mengine mtoa mada anayofanyiwa ambayo hata mwanamke anaweza akamfanyia mumeweMwanamke hawezi kufanya hayo mkuu, sababu hata maandiko yanamtaja kama kiumbe mdhaifu.
Mkuu hayo siwezi kuComment coz sijui wanaishi vipi, point yangu uniudhi nikuzabe halafu unitishie polisi sijui niombe msamaha hiyo kwangu HAIPO.Ukiachana na kupigwa haujaona hayo mengine mtoa mada anayofanyiwa ambayo hata mwanamke anaweza akamfanyia mumewe
Wapo wanawake wanaotesa waume zao haswa kisaikolojia
Kwahiyo jibu swali ingelikuwa mwanamke ungeshauri hivi
Haaahaaha! Mnacheza na fursa tu kwa single mama mtarajiwa, na kwa kuwa kasema Msafi na shape ipo, duh! hatari mazeeNgoja apigwe binti yake na BF au aliye kwenye ndoa utaona atakavyowaka moto mwili mzima. Watu wengine ni wa ajabu sana.
MisogynistMkuu hayo siwezi kuComment coz sijui wanaishi vipi, point yangu uniudhi nikuzabe halafu unitishie polisi sijui niombe msamaha hiyo kwangu HAIPO.
Yaani wavulana kama wewe bado mnaona usingle mama ni ajabu wakati watu wanaona ni heri mtu awe single mama kuliko kuwepo kwenye ndoa kama ya mtoa madaHaaahaaha! Mnacheza na fursa tu kwa single mama mtarajiwa, na kwa kuwa kasema Msafi na shape ipo, duh! hatari mazee
The only person who can tell βhisβ side of the story is the other half/ party in the marriage.Thirdly, sijaona ukielezea his side of story, au kuhusisha kabisa, wasimamizi wa ndoa au wazazi.
Haahaah ndo mnafundishwa hivi kwenye semina?Misogynist
hapana.Unatafuta fursa
πππππ nimeiona best nikaishia kushangaa!!....wakati BAK kama BAK, Ungeipata hiyo nafasi ni kujilamba tuππππBest hebu rudi juu usome namba saba. Mtu anaandaa mazingira mazuri ya kuwa na mumewe bila kelele za watoto anaitwa MHUNI! Dah! anatia huruma sana.
πππππ nimeiona best nikaishia kushangaa!!....wakati BAK kama BAK, Ungeipata hiyo nafasi ni kujilamba tuππππ
πππSi ndo hapo sasa, jamaa itakuwa hajiamini kabisa mambo mazuri anaacha ndani anaenda kuhangaika njeππ€£π€£π€£π€£π€£π€£ yaani hapo unafurahi kabisa simu zote zinazimwa madirisha funga yote wahuni wasisogee dirishani kupiga chato, kiyoyozi kiko hewani na romantic muziki. Fully naked kuanza na muziki na kinywaji. Hapo ni kufanya mapenzi siyo kufuvk lol!!! Hahahahaha mkija stuka saa moja asubuhi masaa 10 yamekatika kama mchezo
ππππππ
πππSi ndo hapo sasa, jamaa itakuwa hajiamini kabisa mambo mazuri anaacha ndani anaenda kuhangaika njeπ
Pana kivuli na upepo [emoji23][emoji1787]Penye miti β¦.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]