You are quite right, those feelings are natural...
Inatokea hivyo ila pamoja na yote the joy that holding your baby brings outweighs everything
Am a full time mother to 3kids and also works full time, initially with ur first child its hard even to focus, but come 2nd and 3rd all panic vanishes...
But ofcourse inabidi mzazi mwenzio naye awe kwenye kupeana mazamu ya kuangalia mtoto usifanye mwenyewe...inachosha sana lakini pia its the most fulfilling thing in the world!
You are quite right, those feelings are natural...
Inatokea hivyo ila pamoja na yote the joy that holding your baby brings outweighs everything
Am a full time mother to 3kids and also works full time, initially with ur first child its hard even to focus, but come 2nd and 3rd all panic vanishes...
But ofcourse inabidi mzazi mwenzio naye awe kwenye kupeana mazamu ya kuangalia mtoto usifanye mwenyewe...inachosha sana lakini pia its the most fulfilling thing in the world!
good, good, good!!
good to hear that you are a mother of three kids, congratulations!
this piece is very nice!
siku hizi watu wana negative attitude hata na mipango ya Mungu mwenyewe!! halafu wanajiuliza kwanini mateso, kwanini misiba, kwa nini ukimwi, nk
hongera kwa kuwa positive na kuwa jasiri na umama, ubarikiwe sana kwa hilo mpendwa
thank you and God bless you!!
hahaha,kweli,...Pauline, how r u?
Ndio maana sio kila mtu anaweza kuwa MAMA,,
Sio lazima kila kitu kigeuzwe mashindano kwamba mbadilishe wewe alafu ndo na mimi ntabadilisha!!Kama mama hutakiwi kutegea malezi ya mwanao....msaada ukiwepo unafurahi na usipokuwepo unakaza buti kijeshi!!Kila mtu angekua na haya mawazo ya usawa kwenye hili wale ambao baba zao hua wanakufa tangu hawajazaliwa au bado wadogo sana mama zao wasingejishughulisha!!Sababu yako yakutaka au kutokutaka kua mama isitegemee mtu mwingine....fanya yawe maamuzi binafsi!hapo nilipobold naona ndio penye tatizo.....wengi wanalichukulia ni jukumu la mwanamke zaidi,kweli fanya utafiti wa wababa wangapi hata wanajua kubadilisha mtoto pampers,uone utakavyoshangazwa?!
Pauline, how r u?
Ndio maana sio kila mtu anaweza kuwa MAMA,,
Sio lazima kila kitu kigeuzwe mashindano kwamba mbadilishe wewe alafu ndo na mimi ntabadilisha!!Kama mama hutakiwi kutegea malezi ya mwanao....msaada ukiwepo unafurahi na usipokuwepo unakaza buti kijeshi!!Kila mtu angekua na haya mawazo ya usawa kwenye hili wale ambao baba zao hua wanakufa tangu hawajazaliwa au bado wadogo sana mama zao wasingejishughulisha!!Sababu yako yakutaka au kutokutaka kua mama isitegemee mtu mwingine....fanya yawe maamuzi binafsi!
Sisemi tu kwakusikia ila hata mimi najua!!Nwy naomba nikuuluze swali...una mwenzako na mmeridhia kua na mtoto kwa makubaliano kwamba mtashirikiana majukumu yote yanayohusu malezi ya mwanenu...wakati bado mjamzito au siku chache baada ya mtoto kuzaliwa mwenzako anatangulizwa mbele ya haki....je utafanyaje???Lizzy ni majukumu yetu sote kulea,we have got equal rensponsibility......kwa kweli tuko tofauti,kama swala la kulea nitaachiwa mimi mwenyewe i better not kuzaa,its not easy job as you think is......mie mwenyewe nimeshuhudia......
Sisemi tu kwakusikia ila hata mimi najua!!Nwy naomba nikuuluze swali...una mwenzako na mmeridhia kua na mtoto kwa makubaliano kwamba mtashirikiana majukumu yote yanayohusu malezi ya mwanenu...wakati bado mjamzito au siku chache baada ya mtoto kuzaliwa mwenzako anatangulizwa mbele ya haki....je utafanyaje???
hapo nilipobold naona ndio penye tatizo.....wengi wanalichukulia ni jukumu la mwanamke zaidi,kweli fanya utafiti wa wababa wangapi hata wanajua kubadilisha mtoto pampers,uone utakavyoshangazwa?!