Am i heart-broken o am just being dissappointed?????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Am i heart-broken o am just being dissappointed??????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lindz, May 26, 2012.

 1. lindz

  lindz Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi ni msichan mweny umr[kapun]nmemaliza form six katk shule privat hap jijin dsm,miez miwil iliyopita nliomba ushaur hap jamii forum kuhus a boyfriend of mine ambae nliekuwa nae,and alot of pipo walinishaur vizur tu.Ni kijana mweny umri wa miak 22 going 23,ni mwajiriw katik kampun flan hap jijin,nlikutana nae kam miez miwil na nusu iliyopit na kuanzish uhusian,he is not rich wala hajatokea katika jamilia ya katajir,nlimpenda yeye kama yeye,sikuwah kumwomba hela hat siku moja sababu napat hela kutok kwa wazaz wang na ukitegemea ndo kwanz nmemaliz shule na kufaul vizur 2!!huyo kijan nlimwelez kwa sasa sitowez ku-sex nae coz am nat redy though mim sio virgin,bt alinielew na nlifurah coz hakuwah hat siu moja kunisumbua kuhus se*.Cha ajabu tx has been a week sasa sijaongea nae wala nin,and nkimtumia messsage hanijib,nlienda kwa nkaambiwa ameenda kazin sababu nlihis atakuw amepatw na matatiz,nlijaribu kumpigi kwa namb nyingine anapokea na akisikia sauti yangu anakat,nimelia vya kutosha.Tatizo nampenda hatar and tx very hard for me to accept dat EDDY is no longer mine!!!nifanyaje,niendelee kumpigia simu au niache!!!i though he was going to be the last boy in my life and probably a husband cause nlimpenda and still nampenda,and nakumbuka sijagombana nae hat kidog cause nilimtumia sms kumwomba msamaha kama ntakuwa nimemkosea au kumkwaza kwa namna moja au nyingine lakin hakujibu:A S cry::A S cry:
   
 2. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  duh..pole mamito, i knw that filing cz chakula wala hakipit nambaya zaid kutopokea au kukata sim anapockia saut yako, we mvizie ukutane nae live au umwambie tatizo ninini? Then kama hasomek huna jins zaid yakupgana na maumiv makal ya kumsahau .pia subir umalize chuo ndo ujiusishe tena na malavdav mana waweza fail ivivivi.
   
 3. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,017
  Likes Received: 1,387
  Trophy Points: 280
  Huyo alikua anataka kukuvua gagulo tu, endelea na masomo mdogo wangu, utapata mwingine.


  Sent from my iPad using Tapatalk HD
   
 4. lindz

  lindz Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bt he usd to tel me he willl neva demand sex mpka nkubali mwenyewe
   
 5. lindz

  lindz Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i thot he lvd me jaman,i regret y i woz faithful
   
 6. z

  zilakina JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Pole sana mdogo wangu kwanza mshukuru sana Mungu kwani huyu kijana ungedo naye 2 angekuacha, tena unasafari ndefu ya elimu yaani chuo endelea na masomo na Mungu atakupa mume mzuri achana na huyo tapeli wa mapenzi.
   
 7. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,017
  Likes Received: 1,387
  Trophy Points: 280
  Na wewe unaamini hilo?? Wake up lindz


  Sent from my iPad using Tapatalk HD
   
 8. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  That statement is not good.Dont ever regret being faithful no matter how bad others treat you.Being faithful is for your own good,its more of a self actualization matter.
  And another thing with you ladies is the tendency of falling 'head over heals' in love which isn't a suitable thing instead you need to stand in love.Never act desperate since some men enjoy seeing that.
  Relax and make predetermined moves even if it means letting go of the guy.There is no point out of tolerating all that suffering while you have done nothing wrong as far as your explanation is concerned.
   
 9. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Pole bint, maumivu ya mapenzi nayajua au niseme wengi wameyapitia,huyo kijana hakua na mapenzi ya kweli kwako alitaka akucheze aondoke, niafadhali maumivu ya sasa hujamvulia nguo kuliko ungesha mvulia yangekua makali mno, chamsingi endelea na masomo kwa makini Sanaa soma pata elimu yako nzuri uwe na kazi nzuri utachagua Yupik unamtaka Yupi humtaki.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Baby gal, don't regret being faithful. That is ur quality and u shld be proud. Usijutie kuvaa nguo safi wakati unapita kwenye matope.

  Huyo anakufanyia 'mind games', ukikua utaelewa. Anataka kukupa presha ili ukubali masharti yake (nahisi sex litakuwa mojawapo). Usikubali kuvunjika moyo, soma vitabu vya kufundisha, angalia vyuo vinavyofaa na ada zake ili ujadiliane na wazazi, fanya ibada, ongea na marafiki. Usimpigie simu, ukitamani kulalamika mpigie rafiki ambae anaweza kukusikiliza utuwe hasira na frustrations zako. We have all been there, na ukivuka huu mtihani utakuwa sawa tu.

  Wewe mrembo tena mtoto. Watakuja wajipange foleni uwafanyishe interview, asikupasue kichwa huyo! Mpotezee afu utamuona anakuja mbiooo!
   
 11. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  The thing is alikua anataka sex tu na alivyoona hawezi kupata ndo akaanzisha vitimbi,watch out anaweza kutumia sex kama kigezo cha kurudi kwenye mstari na ukishampa ndo itakua bye for life!
   
 12. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  dah, yan eddy amepoteza bahat ya kupendwa hivyo, cdhan kama atapata mwngne atakaempenda kama ww
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  duh . . . .
   
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Duh nini? embu mpe ushauri binti yetu.
   
 15. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wanaume wachache sana wanakuwa wa kweli katika hili...! lindz pole lakini hujaharibu kitu, nathubutu kusema hukuandikiwa huyo Kijana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kama umempenda kweli basi u need to go DOWN
   
 17. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Keyboard yako inakosa baadhi ya keys au??? Hebu angalia hapo hapo red, tumezoea kuona wanafunzi wa darasa la sita huwa wanafanya hivyo, sisi watu wazima ikiwa hivyo hadi tuvae miwani na kusogeza macho. Andika kwa ufasaha ueleweke.
   
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,827
  Trophy Points: 280
  pole sana! jamaa alitaka kitumbua! fanya hiv! mwambie hiv, najua nin kimekukasirisha baby wangu, ok me niko tayari kwa lolote kwaajili yako,njoo tuyamalize,siko tayari kukupoteza. ukiona amekubali na aka respond ndio hapo unapata nafasi nzuri ya kumwaga. maana inawezekana tatizo siyo sex.
   
 19. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  wewe kusoma private school inahusuiana vipi na story yako?

  inaelekea unapelekesha pesa ulinayo mbele, labda ndio nyie mnaoongelea pesa pesa raha raha masaa 24 kujionyesha mnazo kwa wanaume wengi hii hawapendi as ukizingatia unabebwa na wazazi.

  hakutaki songa mbele, pesa sio kushika mtu kimapenzi.
   
 20. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  yaani waanauzi sana na ukizingatia wanaoandika hivi field inakuwa inanafasi kubwa.

  hawajui hii ni kwenye vi sms eeh inaeleweka mtu kubana pesa.
   
Loading...