Am feeling guilty, nafsi inanisuta

Hivi unadhani kila mtu anakubali kudropiwa kirahisi? Kuna ving'ang'anizi wa kiwango cha juu
ndio kinachoniumiza kichwa pia namuonea huruma najiona mkosaji sana
 
Wewe inaonekana unajiona most wanted sana na ulijua unapanga kukitokea hicho kidemu cha chuo ndio maana ukampa likizo huyo mwezi wako!

Yaani Mwanaume unasema eti ulimpa mda mpenzi wako ili ajirekebishe?
Mambo gani hayo ambayo yalishindikana mkiwa wote?

Karma is an ugly bitch
 
Huwa mnakosea sana kusema Shetani aliwapitia wakati ni kitu unapanga mwenyewe,acha hizo mzee baba.......huyo demu wa chuo mwambie tu ukweli kuwa unataka kuoa mchumba wako wa siku zote ataelewa japo kwa maumivu
 
Inasikitisha sana kuona kuwa hawa ndio aina ya wapenzi tunaowatambulisha kwa ndugu, jamaa na rafiki zetu. Unaubwaga moyo wako kwa mpita njia
Aaahh...umenikumbusha wimbo wa 'mpita njia" kuna watu Mungu anawaona ujue,. hivi kama humpendi mtu kwann unaruhusu kuwa nae??mm nilishashindwagwa huu unafiki sikupendi nakuchana laiv masuala ya ngoja kesho keshokutwa niliyaacha enzi za mwalimu...mambo mengine ni ushamba tuu.
 
Inashangaza sana, bado hata hujaoa na upo mbioni lakini ubooo umekusimama kama mchongoma vile kila ukiona tundu ni kuchoma choma tu! Sasa subiria uone kitakachokupata kwenye hiyo ndoa yako utakapooa

Badala utulie kwamba sasa naachana na ujana naingia kuwa na familia unaendekeza ashki!
 
Bro chepuka tuu,kwan nawee si ushawai umizwa,...so ndo dunia ilivyo hii,..wa chuo ama room kubwa bado.anaeza pata mwenza anytime so wala hana shida.wee endelea kula utam wale time wil tell,..huyo wa mkoa nae endelea kumla vilevile,ndo wanaume tulivyo mkuu,..kwan we mapenz umeanza lin kijana?..ndo dem wa pil nin huyo..?jus enjoy as far as ua d.ick go,..we all went thru that situation asee,..sometime unajikuta una wanawake wa4 na wote wanakupenda ,..wako weng sana hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…