Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
DEMBA mbona una kihere here cha kukaribisha.....hebu tulia kwanzaLady doctor kwa niaba ya hubby Kaizer naomba niwakaribishe wewe na mumeo Arushaone katika siku ya sherehe ya idd el haj tuje tujumuike pamoja nyumbani.
wii ngoja nikakutafutie haraka kabla mambo hayajaharibika maana naona wanakuja kwa kasi hao, sijui vivian kampa nini figganigga...
Wii ngoja nikupe ka habai kidogo,,,niko Tangi bovu majambazi wmevamiaje jili eneo
almanusura wii wako nipatwe na makubwa..ngoja nikakumention hiyo sehem
figganigga kabla sijapeleka shauri kwa Mwenyekiti naomba unijib hizi tuhumakwa kitendo ulicho fanya nimejikuta nakupenda ghafla.
I love u so much figganigga achana na hao magume gume ya kinondoni
Ukimhome shoppingcenter itakua azabu-mbuzi .
Azabu hasa ni kumwestegate shoppingmall !
pole sana wii wangu jamani..! Ngoja nije nipate habari kamili
figganigga kabla sijapeleka shauri kwa Mwenyekiti naomba unijib hizi tuhuma
mie napajua twende nikupeleke............haiwezekani hata hanemuni haijaisha vizuri haaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mbona kama uzalendo unanishinda......hivi tindikali wanauza wapi!!!!!!!!
tayari...we nenda kule...ila niko salama
nakuja huku naakutana na majang ya kaka ako....
Sijui kitu mpenzi wangu. Jiepushe na watu wanao lenga kutugombanisha babe. Love you honey. Mia
Mi nataka yeye ndy akuambie tukoje!
Nikisema mie itakua kama najikomba!
Na kwakua hakuwahi kukujuza bifoo nadhani yunjiani kuweka rehani relation btwin .
Babe i am sorry. Nisamehe bure mpenzi wangu. Sitarudia tena kuonyesha picha. MiaBabe jamani....kama kusoma sijui na picha pia nisiweze kusoma
Babe wakinihack utajua tu. Mimi siwezi fanya hivyo coz nakupenda sana. Mia
we figganigga badala ya kumpooza wife wako kakutana na majanga huko we unahangaika na wanawake, shaulilo ndoa itakushinda hii