nahisi kama nimekumiss vilee!
Umpandie hewani tena..?
My lovely wife Lady doctor!
No matter how hard I try or how
many words I use, I could never
adequately express what you mean to me.
I can't really know you with my
eyes and ears; only my heart can.
If I had to do it all
over again, I'd do it with you.
Nothing compares with the time we are together.
The best part of the day is
when I come home to you.
Tender moments are spent with you.
I can't wait to see you. Nakaribia home sweet!
Your huz. Arushaone.
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat???????????
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat???????????
My dear vivian, siku hizi nmefungwa so tuwe tunawasiliana kwa siri siri. Heaven on earth mkali na anawivu pia. Mia
babe tulia, nimemmiss jukwaani tu na si vinginevyo...! I love u!
Lady doctor kwa niaba ya hubby Kaizer naomba niwakaribishe wewe na mumeo Arushaone katika siku ya sherehe ya idd el haj tuje tujumuike pamoja nyumbani.
mtumee! Inamaana hujui figganigga amefunga ndoa juzi na huyu mrembo Heaven on earth?????
mbona kama uzalendo unanishinda......hivi tindikali wanauza wapi!!!!!!!!
hahahaaa......... Heaven on earth my lovely wii hebu ukuje huku lakini uvae 'elementi' tafadhali.
DEMBA naomba unipeleke......mie napajua twende nikupeleke............haiwezekani hata hanemuni haijaisha vizuri haaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Shem , muulize mumeo anaanzia wapi kukukwara kiivo , akijua fika mimi na yeye tukoje!
Lady doctor kwa niaba ya hubby Kaizer naomba niwakaribishe wewe na mumeo Arushaone katika siku ya sherehe ya idd el haj tuje tujumuike pamoja nyumbani.
kwahio nina mume bila hiyari...basi umebugi...ukiwa CC sheria za ndoa ni kwa mujibu wa katiba ya ndoa ya CC
Lady doctor who is Heaven on earth? kama yeye wa kinondoni mwambie mi wa masaki mama. akome kuniibia mume wangu nilimuachia kwa muda tu.
wii ngoja nikakutafutie haraka kabla mambo hayajaharibika maana naona wanakuja kwa kasi hao, sijui vivian kampa nini figganigga...
wii kuna mtu ananitafuta mimi....
hivi vivian unajua uchungu wa mwanaume wewe.....hlaafu figganigga hii ndoa hii
naona yaelekea ukingoni