Am a new comer

Am a new comer

Homeboy umeshindwa kutafuta jina mbadala?, huku sio fb,
 
Awamu hii na hiyo Id yako ya kimama uchunge sana vidole vyako kwa yale utakayoyapost humu...ukiteleza kidogo tu utajikuta uko ngome kama sio kuong'olewa meno na kucha.anw karibu mkuu.
 
better ujiite new comer kuliko hio ID ulokuja nayo. fanya maarifa ubadili hilo jina. humu ndani mambo si mazuri awamu hii.
btw, karibu sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom