Aluta continua!!!

Hebu wekeni accaunt yake namimi nichangie pesa ya matibabu...

Nmeamini kweli aliyoyasema yesu kwamba...
Yote niliyoyasema yatatimia hakuna hata punje ya neno itakayopita bila kutimia mpaka mwisho wa dunia.......
Aliyenacho huongezewa bali asiyekuwa nacho atanyang'anywa Hata kidogo alichonacho na kupewa aliyenacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi rudisha afya watanzania tuko nyuma yako na tutaendelea kukucha gia mpaka afya yako maadui zako sasa ALBADIL inawaumbua


SWISSME
 
Nacho amini mlo mzuri huleta afya ya akili, huwezi kula ugali kila siku ukawa na uwezo wa kupambanua mambo kama TL.

kula baba kula, tutachanga ule vzr maana watumia ubongo wako kwa manufaa ya wengi.
 
Ndugu mwandishi, je kama alialikwa?
Hawezi kukuelewa labda aliyemwalika au kumpa offer ya menu ajitokeze, hata akijitokeza bado hatamuamini labda pia alete risiti za malipo ya menu.
 
Lumumba bhana, wanaweweseka yaani mijamaa haitaki hata Lisu ale???? pengine hapo alipo ni kahotel ka makapuku kama sisi huku anakula mchana usiku anapiga pass ndefu hadi asubuhi..... Ngoja nikamtumia buku sita yangu niliyo ingiza leo
 
Huo ujumbe wa aliyenacho ataongezewa na asiyenacho atanyang'anywa hata kile kidogo alichonacho mnaulewa una maanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…