Unyama mav, gari ground clearance ya kifalateza ni unyama
Legacysasa usiwaaminishe watu subaru ni bora kuliko alteza kisa chuki zako binafsi. subaru ipi kwanza inayomgusa teza
Altezza ujinga mwingiIkifart kama inapoop. Ikipoop kama inafart.
Teza sijawahi kuielewa... 😎
Subie for life beibeee.
-Kaveli-
Legacy? Duh tafuteni pesa mnunue magari mtakuja kuungulia humo kwenye vyombo vya moto.Legacy
Altezza Ni upuuz kuliko upuuz wenyeweAltezza Kwa barabara zipi?