Mponjoli JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 668 Reaction score 159 Dec 18, 2013 #1 Habari wadau Nahitaji Toyota Altezza haraka. Color: Black or Silver Year: Not before 2001 Budget: 8.5m Isiwe imetumika Tanzania zaidi ya mwaka mmoja.
Habari wadau Nahitaji Toyota Altezza haraka. Color: Black or Silver Year: Not before 2001 Budget: 8.5m Isiwe imetumika Tanzania zaidi ya mwaka mmoja.
Talibani Senior Member Joined Jul 31, 2013 Posts 136 Reaction score 52 Dec 18, 2013 #2 Kama imetumika Kenya au UG vip?
Mponjoli JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 668 Reaction score 159 Dec 18, 2013 Thread starter #3 Talibani said: Kama imetumika Kenya au UG vip? Click to expand... Nadhani maelezo yangu yanajitosheleza. Si kila kitu lazima uache comment. Kama una Altezza inayomeet hivyo vigezo, tuongee biashaa.
Talibani said: Kama imetumika Kenya au UG vip? Click to expand... Nadhani maelezo yangu yanajitosheleza. Si kila kitu lazima uache comment. Kama una Altezza inayomeet hivyo vigezo, tuongee biashaa.