Altezza gita vs Mark II blit

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,073
2,024
Za lelu valongo vangu....umuofia kwenu....namnani.....namakise.....shimbonyi.....na wengine nimewasalimia kwa lugha zenu...wakuu kuna mdau anataka kuvuta ndinga moja kati ya hizo sasa ameniomba nimshauri achukue ipi?considering important factors such as fuel consumption,stability,appearance etc
dfe9139faac9c33301569b3d55203f18.jpg
Mark II Blit
a5764ef0b16c58f776178c6ee62695e1.jpg
Altezza Gita
 
Hizo gar ukiishiwa unaweka nje ya mortuary unapiga pesa mbaya!
 
Mie naenda kwa Mark II Blit. Ipo kiheshima zaidi. Upande wa fuel nahisi kama they're almost the same. Maintanance naona kama Mark II itakuwa easy provided spare zake kama vile shock absorbers zipo kila kona tofauti na Tezza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom