Mambo yanabadilika kutoka mda na mda mfano mzuri Jambo forum na kuwa Jamiiforum. Na mabadiliko mengi ila hili neno "mkuu" limegoma kubadilika zaidi ya kuwa na wingi tu(Wakuu)
Neno Mkuu limekuwa sugu korofi na bishi kubadilika japo muda mrefu umepita. Hata katiba za nchi zinabadilika si hivyo tu hata sura yako pia inabadilika neno mkuu lina nini. Kwanini liwe king'ang'anizi kama limezaliwa jana.
Haya hapa kama wewe ndio umepewa nafasi ya kuleta alternative ya mkuu ungeleta neno gani litumike mbadala wa neno mkuu.
Hili neno halitakiwi kubadilika kwasababu linakidhi mahitaji ya matumizi ya hapa kwa usawa. Hapa haijalishi wewe ni mdogo au mkubwa, wa kiume au wa kike utaitwa "Mkuu" vinginevyo utaanza ubaguzi,,,,,ukisema "Chief" hili lina ukakasi huwezi kumwita mwanamke chief, Labda useme "Mwanachama"
hili neno kamwe halitafutika jf maana ndio jina pekee lisilo na jinsia maalum,mwanamke,mtoto ,mtu mzima wakike au wa kiume unaweza mwita mkuu na lina fiti,mmana humu unaweza kuta mtu ana ID ya kike kumbe mwanaume au kinyume sojina mkuu linakubali mtu yoyote hata ma shemale