La kwenye attachment nimefanya mimi. Swali halisi liko hapaHilo swali umefanya wewe?
Katiba inasema ujue kusoma na kuandika. Hamis Tambasamu wa Jimbo la sengerema na Joseph musukuma wa Geita vijijini unawafahamu? Hii mahesabu walikutana nayo wapi?Hivi hizi thread za namna hii hata ukiziweka kwenye Jukwaa la Elimu huwa hazipati wachangiaji?
Umesema wako Geita na Sengerema? Watakuwa walikutana nayo huko huko waliko. Kawaida kama unakutana na kitu, si ni lazima ukutane nacho pale pale ulipo, au?Katiba inasema ujue kusoma na kuandika. Hamis Tambasamu wa Jimbo la sengerema na Joseph musukuma wa Geita vijijini unawafahamu? Hii mahesabu walikutana nayo wapi?
Maswali mengine ambayo tayari solutions zake zipo, yako hapa:Hilo swali umefanya wewe?
Yani watu wamesolve huko na kupata majibu kisha wakatengenezea documents vizuri. Ww unakuja kusema majibu yamekosewa, kuwa serious broh.La kwenye attachment nimefanya mimi. Swali halisi liko hapa
Source: Geometric Applications of Line Integrals - Page 2
Actually ninaandika manual mbili. Moja ya Differential Calculus na nyingine ya Integral Calculus. Zitakuwa na maswali zaidi ya 200 kwa ujumla wake. Maswali karibia yotei nimechukua kutoka kwenye document hii hapa:
http://www.staff.ttu.ee/~lpallas/Math_an2_exercises.pdf
Haya yote hayana njia ila yana majibu tu. Kwa hiyo na-solve mwenyewe na kuyawekea solutions sahihi na kuna baadhi yake, japo machache sana, majibu yake yamekosewa
Machache sana pia nachukua kutoka math24 website, ila ninapoona njia yao haifai, na-solve kwa kutumia njia yangu
Kuna mengine tena kama 20 hivi ni integral calculus, yaliwahi kuwekwa humu Jamiiforums mwaka 2012. Nayo nimeyachukua pia na nikishakamilisha, manual zote hizi mbili nitaziweka Public humu jukwaani. Kama wewe ni mdau basi siku nikikwama sehemu naweza kukushirikisha.
Ubarikiwe na Bwana
Wamepata majibu sahihi, waka-type vibaya, yaani ni typing error nadhani kwa sababu wao wameweka majibu tu. Naweza kukuonyesha mojawapo ya swali kama ukitakaYani watu wamesolve huko na kupata majibu kisha wakatengenezea documents vizuri. Ww unakuja kusema majibu yamekosewa, kuwa serious broh.
Ingekuwa na njia ndio ungeweza kuona, pengine kuna sehem umeteleza na ww.Kumbuka pia kuwa document yao ina majibu, haina njia
Hapana nina uhakika na ninachokisema. Kuna baadhi ya maswali, watakuwa wamekosea kuchapa majibu. Yaani wamesolve wakapta jibu sahihi, halafu mchapaji badala ya kuandika 34 akaandika 43, upo hapo? Tuseme ukifanya swali hata ukalirudia mata 3 au 4, unapata jibu lile lile tuseme la 34 lakini ukiangalia kwenye majibu yao unakuta wameandika jibu ni 43, hapo utasemaje?Ingekuwa na njia ndio ungeweza kuona, pengine kuna sehem umeteleza na ww.
Watu kama ww ndio mlikuwa mnatupanikisha sisi wengine kwenye vyumba vya mitihani. Tunasolve na kupata jibu, alaf nyie mnawaambia maticha kuwa swali limekosea halifanyikiHapana nina uhakika na ninachokisema. Kuna baadhi ya maswali, wakosea kuchapa jibu. Yaani wamesolve wakapta jibu sahihi, halafu mchapaji badala ya kuandika 34 akaandika 43, upo hapo? Tuseme ukifanya swali hata ukalirudia mata 3 au 4, unapata jibu lile lile tuseme la 34 lakini ukiangalia kwenye majibu yao unakuta wameandika jibu ni 43, hapo utasemaje?
Sikuyasoma mimi haya shuleni, nimefundishwa ukubwani nikiwa tayari kazini, on-the-job training. Ukifundishwa ukiwa kazini tayari unakuwa na nafasi nzuri sana ya kuelewa zaidi kwa sababu kwanza akili inayotumika inakuwa ni ile ya ukubwani, na pili halafu hakuna mtihani. Nayaelewa kwa sababu nimefundishwa nikiwa kazini na nilikuwa sihitaji kufanya mitihaniWatu kama ww ndio mlikuwa mnatupanikisha sisi wengine kwenye vyumba vya mitihani. Tunasolve na kupata jibu, alaf nyie mnawaambia maticha kuwa swali limekosea halifanyiki
Hongera! Endelea mkuu, huu si tu ni msaada kwa wadau bali ni changamoto nzuri kwa wanaohitaji kunoa uwezo wao wa makihesabu.La kwenye attachment nimefanya mimi. Swali halisi liko hapa
Source: Geometric Applications of Line Integrals - Page 2
Actually ninaandika manual mbili. Moja ya Differential Calculus na nyingine ya Integral Calculus. Zitakuwa na maswali zaidi ya 200 kwa ujumla wake. Maswali karibia yotei nimechukua kutoka kwenye document hii hapa:
http://www.staff.ttu.ee/~lpallas/Math_an2_exercises.pdf
Haya yote hayana njia ila yana majibu tu. Kwa hiyo na-solve mwenyewe na kuyawekea solutions sahihi na kuna baadhi yake, japo machache sana, majibu yake yamekosewa
Machache sana pia nachukua kutoka math24 website, ila ninapoona njia yao haifai, na-solve kwa kutumia njia yangu
Kuna mengine tena kama 20 hivi ni integral calculus, yaliwahi kuwekwa humu Jamiiforums mwaka 2013. Nayo nimeyachukua pia na nikishakamilisha, manual zote hizi mbili nitaziweka Public humu jukwaani. Kama wewe ni mdau basi siku nikikwama sehemu naweza kukushirikisha.
Yale ya mwaka 2013 haya hapa na tayari yote yana solutions zake:
Nawaachia Homework wale wa mambo yetu yaleee back in days (still got it?).....!!!!!
Ubarikiwe na Bwana
Naomba nikukumbushe tu kuwa JF iko juu sana tangu kipindi kirefu nyuma. Ubarikiwe pia kwa ushauri mzuriHongera! Endelea mkuu, huu si tu ni msaada kwa wadau bali ni changamoto nzuri kwa wanaohitaji kunoa uwezo wao wa makihesabu.
Vile vile unafungua dirisha jipya la majadiliano na kuifanya JF kuwa na hadhi ya juu.
Baadhi ya yaliyomo kwenye mojawapo ya manual, mengine ni kama haya hapaHongera! Endelea mkuu, huu si tu ni msaada kwa wadau bali ni changamoto nzuri kwa wanaohitaji kunoa uwezo wao wa makihesabu.
Vile vile unafungua dirisha jipya la majadiliano na kuifanya JF kuwa na hadhi ya juu.
La kwenye attachment nimefanya mimi. Swali halisi liko hapa