M Malova JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 784 Reaction score 228 Apr 7, 2015 #21 Mambo ya TIGITIGI
Williedm JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 505 Reaction score 139 Apr 7, 2015 #22 hahaha huwa napenda sana hizi story za chenge ni balaa,,,,
gilbert14 Senior Member Joined Oct 17, 2014 Posts 117 Reaction score 17 Apr 7, 2015 #23 Mtemi chenge awezi ngokaa
Chademakwanza JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 6,346 Reaction score 1,872 Apr 7, 2015 #24 Watashindana kamwe hawataweza kuishinda Chadema.. giza haliwezi shinda Nuru
X xenaxena JF-Expert Member Joined May 20, 2014 Posts 2,235 Reaction score 586 Apr 7, 2015 #25 terace said: tupate ka CV pia Click to expand... Heri nguo ziraruke,kuliko akili
Neutral Figure JF-Expert Member Joined Mar 8, 2015 Posts 537 Reaction score 201 Apr 7, 2015 #26 Crashwise said: Ngoja nimkumbushe na hilo kuwa Chenge ni muuwaji aliwauwa hao akinadada... Click to expand... Aisee hiyi Cybercime bill inapitishwa lini kuwa sheria? This is too much!!
Crashwise said: Ngoja nimkumbushe na hilo kuwa Chenge ni muuwaji aliwauwa hao akinadada... Click to expand... Aisee hiyi Cybercime bill inapitishwa lini kuwa sheria? This is too much!!
Chademakwanza JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 6,346 Reaction score 1,872 Apr 7, 2015 #27 laki si pesa said: mawazo hajipendi Click to expand... Kwakumuogopa nyoka wa Makengeza? Tutayanyosha yatakua ya kaka kuona
laki si pesa said: mawazo hajipendi Click to expand... Kwakumuogopa nyoka wa Makengeza? Tutayanyosha yatakua ya kaka kuona
Chademakwanza JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 6,346 Reaction score 1,872 Apr 7, 2015 #28 B.4really said: mkuu npo uwanjan hapa lakini huyu kamanda wa chadema mkoa,kiukwel chadema mmebugi yan ni kopo hana anachokijua kuhusu siasa!!! Click to expand... Baada yakuwashugulikia ccm kanda ya huko na mkarudisha mikia sehemu yake ndio unaona hafai? Tutawashugulikia tuu maana hakuna namna
B.4really said: mkuu npo uwanjan hapa lakini huyu kamanda wa chadema mkoa,kiukwel chadema mmebugi yan ni kopo hana anachokijua kuhusu siasa!!! Click to expand... Baada yakuwashugulikia ccm kanda ya huko na mkarudisha mikia sehemu yake ndio unaona hafai? Tutawashugulikia tuu maana hakuna namna
Chademakwanza JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 6,346 Reaction score 1,872 Apr 7, 2015 #29 Maziku Masunga Jr. said: Sisi hatuchagui chama, tunachagua mtu. Hakuna mtu anayetufaa bariadi zaidi ya Chenge, wengine watasubiri.. Click to expand... Hatakua namakengeza ya nyoka tena tutayanyosha yawe ya kaka kuona kwahiyo ukombozi niwachadema hakuna namna nyingine tumechoka namafisadi
Maziku Masunga Jr. said: Sisi hatuchagui chama, tunachagua mtu. Hakuna mtu anayetufaa bariadi zaidi ya Chenge, wengine watasubiri.. Click to expand... Hatakua namakengeza ya nyoka tena tutayanyosha yawe ya kaka kuona kwahiyo ukombozi niwachadema hakuna namna nyingine tumechoka namafisadi
Chademakwanza JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 6,346 Reaction score 1,872 Apr 7, 2015 #30 Maziku Masunga Jr. said: umechoka wewe au watu wa bariadi.??? Click to expand... Watanzania wamechoka naufisadi wa kila mwaka wa ccm na watu wake
Maziku Masunga Jr. said: umechoka wewe au watu wa bariadi.??? Click to expand... Watanzania wamechoka naufisadi wa kila mwaka wa ccm na watu wake
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,621 Reaction score 272,375 Apr 7, 2015 #31 kamanda mawazo leo umefanya jambo ambalo hata polisi wanaogopa ! safi sana .
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,621 Reaction score 272,375 Apr 7, 2015 #32 natangaza rasmi kuchangia pesa taslimu ili kumg'oa chenge bariadi , Tanganyika bila wizi inawezekana .
natangaza rasmi kuchangia pesa taslimu ili kumg'oa chenge bariadi , Tanganyika bila wizi inawezekana .
X xenaxena JF-Expert Member Joined May 20, 2014 Posts 2,235 Reaction score 586 Apr 7, 2015 #33 Nyoka wa Makengeza anajivunia vijisenti vya Escrow na EPA
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,621 Reaction score 272,375 Apr 7, 2015 #34 Maziku Masunga Jr. said: Sisi hatuchagui chama, tunachagua mtu. Hakuna mtu anayetufaa bariadi zaidi ya Chenge, wengine watasubiri.. Click to expand... hivi wazazi wako wanajisikiaje wanaposoma maandiko yako ! umewafedhehesha mno !
Maziku Masunga Jr. said: Sisi hatuchagui chama, tunachagua mtu. Hakuna mtu anayetufaa bariadi zaidi ya Chenge, wengine watasubiri.. Click to expand... hivi wazazi wako wanajisikiaje wanaposoma maandiko yako ! umewafedhehesha mno !
X xenaxena JF-Expert Member Joined May 20, 2014 Posts 2,235 Reaction score 586 Apr 7, 2015 #35 Maziku Masunga Jr. said: umechoka wewe au watu wa bariadi.??? Click to expand... Sio bariadi tu hata bupandagila hawamtaki
Maziku Masunga Jr. said: umechoka wewe au watu wa bariadi.??? Click to expand... Sio bariadi tu hata bupandagila hawamtaki
X xenaxena JF-Expert Member Joined May 20, 2014 Posts 2,235 Reaction score 586 Apr 7, 2015 #36 Maziku Masunga Jr. said: ooh kumbe watanzania ndio wameichoka ccm na watu wake.!!! Kwa hiyo unatuambia nini sisi watu wa bariadi.??? Click to expand... Mgawo wa kampeni umekufikia?, wakati ukimhitaji chenge,shule za bariadi zikiendelea kutoa sifuri,wewe na chenge wako
Maziku Masunga Jr. said: ooh kumbe watanzania ndio wameichoka ccm na watu wake.!!! Kwa hiyo unatuambia nini sisi watu wa bariadi.??? Click to expand... Mgawo wa kampeni umekufikia?, wakati ukimhitaji chenge,shule za bariadi zikiendelea kutoa sifuri,wewe na chenge wako
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,621 Reaction score 272,375 Apr 7, 2015 #37 nyabhingi said: kila nikikumbuka wale wadada waliogongwa na gari la nyoka mwenye makengeza namuogopa sana. Click to expand... wala usimuogope hana lolote , aliwagonga kizembe sana , hakuwahi kumiliki leseni na alihukumiwa faini ya laki 7 .
nyabhingi said: kila nikikumbuka wale wadada waliogongwa na gari la nyoka mwenye makengeza namuogopa sana. Click to expand... wala usimuogope hana lolote , aliwagonga kizembe sana , hakuwahi kumiliki leseni na alihukumiwa faini ya laki 7 .
C cos p Member Joined Apr 4, 2015 Posts 63 Reaction score 4 Apr 7, 2015 #38 Maziku Masunga Jr. said: Sisi hatuchagui chama, tunachagua mtu. Hakuna mtu anayetufaa bariadi zaidi ya Chenge, wengine watasubiri.. Click to expand... Anakufaa wewe na familia yako, uozo huo...
Maziku Masunga Jr. said: Sisi hatuchagui chama, tunachagua mtu. Hakuna mtu anayetufaa bariadi zaidi ya Chenge, wengine watasubiri.. Click to expand... Anakufaa wewe na familia yako, uozo huo...
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,621 Reaction score 272,375 Apr 7, 2015 #39 B.4really said: mkuu npo uwanjan hapa lakini huyu kamanda wa chadema mkoa,kiukwel chadema mmebugi yan ni kopo hana anachokijua kuhusu siasa!!! Click to expand... nadhani hii ndio post ya kimasikini zaidi katika kipindi cha kuanzia siku ya mapinduzi ya zanzibar na leo siku ya Karume , hongera mjomba !
B.4really said: mkuu npo uwanjan hapa lakini huyu kamanda wa chadema mkoa,kiukwel chadema mmebugi yan ni kopo hana anachokijua kuhusu siasa!!! Click to expand... nadhani hii ndio post ya kimasikini zaidi katika kipindi cha kuanzia siku ya mapinduzi ya zanzibar na leo siku ya Karume , hongera mjomba !
Chademakwanza JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 6,346 Reaction score 1,872 Apr 7, 2015 #40 Maziku Masunga Jr. said: ooh kumbe watanzania ndio wameichoka ccm na watu wake.!!! Kwa hiyo unatuambia nini sisi watu wa bariadi.??? Click to expand... Maana nyie niwasomali na siyo watanzania?
Maziku Masunga Jr. said: ooh kumbe watanzania ndio wameichoka ccm na watu wake.!!! Kwa hiyo unatuambia nini sisi watu wa bariadi.??? Click to expand... Maana nyie niwasomali na siyo watanzania?