Mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita kamanda Alphonce Mawazo amemvaa jambazi ambaye kila tuhuma ya wizi yupo na mbaya zaidi hujisifia kwa uwizi wake huo kwa kusema ni vijisent mara anamake geza ya nyoka hivyo huchungulia dili la pesa popote lilipo muda anaipata baada mwenyekiti wa Geita kumfata katika uwanja wa Halmashauri...
muda huu wajumbe mbalimbali wanatema cheche kabla ya mkutano kuanza Chopa inayotumiwa na Mwenyekiti huyo ilizuiliwa kutua bariadi licha ya kuwa na vibali vyote...
Mungu Ibariki Chadema...
mkuu npo uwanjan hapa lakini huyu kamanda wa chadema mkoa,kiukwel chadema mmebugi yan ni kopo hana anachokijua kuhusu siasa!!!
Ashukie LAMADI,au Lukarangwa tutamfuata kwa magari yetu,Mawazo tujuavyo kwa kisukuma ni( reasoning), ataenda kuibua hisia tu ambazo zinamsubiri kurudisha kadi za ccm.Bariadi vijiji vyote chadema, chenge mwisho wake umekaribia
Nenda Malaika au Rogmarks wenzsko wanakusubiri hapo yanaongelewa maswala nyeti
.... Cv Ya Nini, Unataka Umwajilitupate ka CV pia
mawazo hajipendi
mkuu npo uwanjan hapa lakini huyu kamanda wa chadema mkoa,kiukwel chadema mmebugi yan ni kopo hana anachokijua kuhusu siasa!!!
.... Cv Ya Nini, Unataka Umwajili
Nashukuru mkuu ila kwa sababu na ww una akili za kishkaji kama za kiongoz wzko huyo ni haki kunishaur hivo...huyo anapoteza muda wetu bure tu ni bora mngemuacha yule mwnykit wa serenget au yule mama wa bawacha kulko hili kopo linaloongelea unyumba we chenge na polisi kwan ni vitu vnawahusu wao wenyew lkn sisi tunahitaji sera zenye mashko ili tujue jinsi gani ya kujikwamua na umaskin na ujinga hasa kwa kanda hii ya simiyu...