VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,128
- 2,246
Alphard body yake huwa inachoka kama mbwa aliezaaWakuu.
Naomba uzoefu wenu kuhusu uimara na udhaifu wa magari hayo Katika Namna ya ulinganishi.
Natanguliza shukrani za dhati
Yoyote, chini ya mwaka 2008Mwaka?
Asante Mkuu. Vipi kuhusu uimara?Vellfire ina perfomance na mbio kuliko alphard , hata horsepower alphard inazidiwa mbali, alphard yenye hp kubwa ni 180 hp, vellfire inakuja hadi na 280 hp na ina turbo...
mkuu unazungumzia za mwaka gani, maana matoleo yanatofautiana...Asante Mkuu. Vipi kuhusu uimara?
Vp za chini ya 2008 Zina changamoto gani? AsanteAlphard na Vellfire ni gari moja, zinashare alsmost kila kitu, nashauri tafuta za 2008+ ni second gen.
Kuna engine ndogo 2.4L na Ina hybrid pia, ila Kuna jini 3.5L V6, wengi inawasumbua mafuta.
Natamani hizo gari Kwa sababu ya ukubwa wake kwa matumizi ya familia. Sina chochote ninachofahahamu kuzihusu. Sijui ni toleo gani zuri na lipi baya. Hiyo Ndiyo sababu ya kuomba ushauri wenumkuu unazungumzia za mwaka gani, maana matoleo yanatofautiana...
Nilizungumzia hizo latest 2024...
Kwa miaka ya nyuma kuna matoleo mengi..
Ziko poa pia.Vp za chini ya 2008 Zina changamoto gani? Asante
Kwanini inasema matumizi ya familia, mnatoka mara ngapi kwa week na familia kubwa Sana? Maana Alphard ni chuma kubwa, watu 8 wanakaa mule comfortable.Natamani hizo gari Kwa sababu ya ukubwa wake kwa matumizi ya familia. Sina chochote ninachofahahamu kuzihusu. Sijui ni toleo gani zuri na lipi baya. Hiyo Ndiyo sababu ya kuomba ushauri wenu
I’m a family man. Kwa sasa tuko sita plus relative. Gari ya watu watano hainifai Tena. Nilikuwa natamani Nissan Caravan Nv 350 au Hiace super GL lakini Bei ni kubwa sana kwanguKwanini inasema matumizi ya familia, mnatoka mara ngapi kwa week na familia kubwa Sana? Maana Alphard ni chuma kubwa, watu 8 wanakaa mule comfortable.