mirymicaiah605 Senior Member Joined Apr 6, 2014 Posts 107 Reaction score 17 Aug 11, 2014 #1 Jamani nahitahiji kujua haya maji ya alovera na ya muarobaini yanatibu nini
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Aug 11, 2014 #2 Umeyaona wapi
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,682 Reaction score 14,067 Aug 11, 2014 #3 inategemea na namna utakavyo ya andaa na ku ya tumia
mirymicaiah605 Senior Member Joined Apr 6, 2014 Posts 107 Reaction score 17 Aug 11, 2014 Thread starter #4 Namaanisha kwa muarobain wale wanaochemsha na kunywa maji yake Alovera ile wakitwanga au kusaga inasaidia nn??
Namaanisha kwa muarobain wale wanaochemsha na kunywa maji yake Alovera ile wakitwanga au kusaga inasaidia nn??
mayenga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 4,118 Reaction score 1,973 Aug 13, 2014 #5 Mimi ni mtumiaji mkubwa wa alovera na muarobaini.Ninachokifanya nachemsha kwa pamoja.Ni dawa nzuri sana ingawa ni chungu sana.
Mimi ni mtumiaji mkubwa wa alovera na muarobaini.Ninachokifanya nachemsha kwa pamoja.Ni dawa nzuri sana ingawa ni chungu sana.