FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 41,022
- 47,115
23 carats x 10,000,000 USD = 230,000,000/= USD. Which is about bilioni 500 za kitanzaniaRed or pink diamond ndo the expensive germ on earth. Yaani carat moja ya hiyo ni USD 10,000,000 nilikua nasoma habari jana. Kwa hiyo hapo carat 23 kuna utajiri sio chini ya USD 30,000,000 au zaid maana ikiwa ipo kwenye carat 23 ina maana possibility ya kuuzwa bei juu ni kubwa.