Almanusura niolewe hotelini, mke wa mtu sumu

Almanusura niolewe hotelini, mke wa mtu sumu

Mbavu nne pamoja na mumewe usiliwe?
Ukweli ni huu"UMELIWA LAKINI KWA MBINDE"ila hujaolewa
 
Hongera. Kwa watu wa Musoma ni afadhali ufe kuliko kuolewa na wanaume wenzako, kwanza ni aibu na laana katika kizazi chenu chote, huwezi kuongea mbele ya watu ukijilegeza ufanyiwe hiyo kitu. Ni sawa na kuwakimbia vijana wanaojiita mbwa mwitu.
 
Na mm ndiye mume wa huyo dada. Bahati yako shukuru hao stuff wa hotel, otherwise ningekuoa tu maana hakuna namna.
 
kwa hiyo walifanikiwa kukukojolea goli ngapi baada ya hizo vurugu zote....maana hii story lazima ilikuwa na part 2
 
wee kweli muraa hongera. nimependa stori yako. morani bora kufa kuliko kufanywa hiyo kitu.
 
Hadithi njoo,uongo njoo utamu kolea.
 
mke wa mtu ni sumu aiseee. wangekukula tigo

mimi nimepapenda tu hapa .....

"yule Mume aliniambia tumekuja humu kukuoa, lazima tukukojolee na wewe, umeniumiza moyo kwa kipindi kirefu Leo ni zamu yako, mtoeni hiyo boxer mpakeni mafuta mumuoe".
 
Duh!!! Naona waswahili walisema mke wa mtu ni sumu hukuamini hadi ukathibitisha na wewe ularejea kusema mke wa mtu ni sumu.....
Ni kweli sumu hutakiwi fanya tafiti kuthibitisha usemi huo!!
 
Ushakatwa utepe wewe acha mboyoyo!...ila ushukuru kwa 'ukarimu' wa kukupaka mafuta!
 
Duh km ulipona ni bahati yako hilo ni funzo kuwa wanawake ni wadhaifu kweli akibanwa tu anasanua hapo alishutukiwa akabanwa ikabidi akuingize king pasipokutaka
 
Back
Top Bottom