sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,664
Sikuwahi kupata nafasi ya kumkubali Salum Hapi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, haswa baada ya kuwa DC ambaye mkoa aliopo ni ngumu kuchomoza kutokana na aliyemtangulia Makonda kuwa amefanya vingi Kinondoni na hata Mkoani.
Jana nimemuona katika tuzo za malkia wa nguvu akimkabidhi tuzo Saida Karoli, alitoa maneno mazito yenye Busara, ukiiutazama uso wake unaona hicho ndicho anachokiamini.
Ni bahati mbaya sana kuwa Clouds haifanyi kazi na Mkuu wa Mkoa, na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni alitumia nafasi alizokuwa anapewa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda kujitangaza.
Nampongeza Ally Hapi kwa alichokifanya malkia wa nguvu jana na haswa kusimama kama kiongozi kuonyesha kusaidia wanawake.