Ally Kessy anataka Mkapa anyongwe?

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,061
Mbunge Ally Kessy bungeni jana alisema wote wanaohusika na kusaini mikataba ya madini ambayo ni ya kinyonyaji wanyongwe, aliungwa mkono na wabunge wengine wa CCM

Lipumba naye alisema mikataba hii ni Mkapa ndiye aliyesaini, Je Ally Kessy hajui kuwa Mkapa ndio muhisika wa hili hadi akataka anyongwe? na kama anajua ni kweli anataka rais mstaafu anyongwe? au Lipumba alikuwa anadanganya?

Mzee wa masarawiri anafurahisha sana

Masarawiri na musukuma washindanishwe kwenye category ya u-comedy hawamungunyi maneno bungeni chochote husema
 
Ccm ndo chanzo cha hali duni za watanzania

Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.
 
LUMUMBA kila kitu wanashangiliaga Mkuu usishangae hata likija bumbuluka wakamlaumu huyu aliyelitibua tena.

Mikataba wamesign wenyewe na wanaivunja wenyewe bado wanshangilia.
Wewe unataka ivunjwe na nani au unataka isivunjwe? Ebu kuwa specific kidogo
 
Unategemea nini Mkuu toka kwa Wabunge vilaza wa KKK. Hawajitambui hata chembe hawa na ndiyo sababu kubwa Bunge kugeuka Bunge uchwara. Wapo wapo tu hata wajibu wao wa kuwepo bungeni hawaujui.

Kwa mujibu wa wabunge kadhaa wa ccm ni kuwa mikataba hiyo imesainiwa na kina Lissu, Zitto na Mnyika. Hawa wachukuliwe hatua haraka sana kwa kushirikiana na mataifa ya nje kutuibia.
 
Komedi ya maccm kama kawa ili isionekane kuwa wazo hili zuri limetoka upinzani. Tunataka action sio ngonjera. Ngonjera waachieni watoto wadogo. Mtu mzima akimba mgonjera ni ujuha hata ikiwa ni ngonjera ya kumpongeza mwanao anaye oa.
Kessy ungelisema basi hata wawalete tuwaagize wakawaombe radhi wezi wetu ila sisi tuamue kwa pamoja kuwa, tumeshaamka hatutaki tena kuibiwa. Sasa tutangaze kama taifa kuwa; HAKUNA MKATABA HALALL ULIOWAHI MKUSAINIWA TZ.
Hivyo, anayejidhania ana mkataba na serekali ya Tz aje auoneshe ujadiliwe. Ukiwajua, ukawanyonga, je ndo umerudisha kilicho ibwa?? Tuwe tu realistic.
 
Mkapa hili awezi kulikwepa na ukiangalia alivyoligawa taifa kwa kutuita mabwege
 
Kwa hil na muunga mkono Ally Kessy,wangekuwa siku zote wapo hiv Nchi ingekuwa mbali,tatizo hawatabirik
 
ilo lizee mm clipendi yani clipendi kwelikweli kwanza ni lichawi sana ilo zee yani chawi balaa....
 
Kwa mujibu wa wabunge kadhaa wa ccm ni kuwa mikataba hiyo imesainiwa na kina Lissu, Zitto na Mnyika. Hawa wachukuliwe hatua haraka sana kwa kushirikiana na mataifa ya nje kutuibia.
Hapana kwa mujibu wa Kesy Sumaye pia yumo.
 
Kwani Mkapa ndio nani? Yeye ni bora au ni Mkubwa kuliko Watanzania wote? Haya mambo ya kuona watu flani ni untouchbale ndio yanayosababisha na wao wawe na kiburi cha kusign mikataba mibovu, huyu mwingine naye kazuia mchanga ili tupigwe fidia na anajua kabisa yeye hatotoa hata 100 mfukoni mwake kwenye kulipa hiyo fidia ila ni sisi Wananchi.
 
Mbunge Ally Kessy bungeni jana alisema wote wanaohusika na kusaini mikataba ya madini ambayo ni ya kinyonyaji wanyongwe, aliungwa mkono na wabunge wengine wa CCM

Lipumba naye alisema mikataba hii ni Mkapa ndiye aliyesaini, Je Ally Kessy hajui kuwa Mkapa ndio muhisika wa hili hadi akataka anyongwe? na kama anajua ni kweli anataka rais mstaafu anyongwe? au Lipumba alikuwa anadanganya?

Anataka WEWE UNYONGWE
 
Back
Top Bottom